mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Katibu Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM, CPA. Amos Makala amesema Mwenyekiti wa CHADEMA
Freeman Mbowe kama alishindwa kumfukuza Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu @TunduALissu
hana ujasiri hivyo asiwaaminishe watanzania kuwa kuna ujasiri wanapaswa kuwa nao.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara baina yake na wananchi wa Jimbo la Kibamba Makala amesema “kama Mbowe ni jasiri unashindwaje kesi na wanawake 19 wako bungeni.
Kama Mbowe ni jasiri unashindwaje kumfukuza Tundu Lissu aliyesema chama chako kimepokea hela chafu?”
Pia soma
- Amos Makalla: CCM inasikitishwa sana na hela chafu zilizoingizwa CHADEMA na migawanyiko inayoendelea