Pre GE2025 Amos Makalla: Mbowe ni dhaifu, anashindwaje kesi na wanawake 19 na kumfukuza Lissu anayedai CHADEMA kimepokea hela chafu!

Pre GE2025 Amos Makalla: Mbowe ni dhaifu, anashindwaje kesi na wanawake 19 na kumfukuza Lissu anayedai CHADEMA kimepokea hela chafu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa mtu unaeneza chama chako ...sasa wanaingiaje hapo Mbowe na Lissu ni kwamba walipita jirani ghafula akawaona au alianzaje sasa mbona havihusiani au walimpigia simu?!!!
 
kuwaita chadema nyumbu ni tusi? kwani uongo? mtu amekalia kiti, analamba asali ila msiojua bado mpo tayari hata kufa kwa ajili yake, mkiiitwa nyumbu wasiokuwa na ubongo wa kufikiri mtasema mmetukanwa?
Kwani wewe unawashwa nini?.Tafuta mtu akukune ya cdm waachie wenyewe.
 
Katibu Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM, CPA. Amos Makala amesema Mwenyekiti wa CHADEMA
Freeman Mbowe kama alishindwa kumfukuza Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu @TunduALissu
hana ujasiri hivyo asiwaaminishe watanzania kuwa kuna ujasiri wanapaswa kuwa nao.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara baina yake na wananchi wa Jimbo la Kibamba Makala amesema “kama Mbowe ni jasiri unashindwaje kesi na wanawake 19 wako bungeni.

Kama Mbowe ni jasiri unashindwaje kumfukuza Tundu Lissu aliyesema chama chako kimepokea hela chafu?”

Pia soma
- Amos Makalla: CCM inasikitishwa sana na hela chafu zilizoingizwa CHADEMA na migawanyiko inayoendelea

Yaani Ccm wame poteana hawajui wajibu lipi na waache lipi.
Kila waki amka ni Mbowe, Chadema
Mbowe kawashika pabaya.
Imagine Lissu kapumzika, je ingekuwa huku Heche, kuls Lema hapa Mbowe kati Sugu juu Wenje, si ccm wange jinyea hawa?
Kosa kubwa hawa mabumunda wanalo kosea ni kuwa fuatilia Chadema.
Imekuwa kama Chadema ndko champ tawala na Ccm ni chama cha upinzani.
Badala ya ccm ku elezea waliyo yafanya kwa miaka 64 na wana mpango wa kufanya nini, kila saa Mbowe na Chadema.
Useless
 
Huyu jamaa wa kugugu!! Hilo swali.amegugu? Maana aligugu kuona kama Ndugai alisema kweli kuwa nchi itauzwa.
 
Back
Top Bottom