Pre GE2025 Amos Makalla: Mbowe ni dhaifu, anashindwaje kesi na wanawake 19 na kumfukuza Lissu anayedai CHADEMA kimepokea hela chafu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Katibu Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM, CPA. Amos Makala amesema Mwenyekiti wa CHADEMA
Freeman Mbowe kama alishindwa kumfukuza Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu @TunduALissu
hana ujasiri hivyo asiwaaminishe watanzania kuwa kuna ujasiri wanapaswa kuwa nao.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara baina yake na wananchi wa Jimbo la Kibamba Makala amesema “kama Mbowe ni jasiri unashindwaje kesi na wanawake 19 wako bungeni.

Kama Mbowe ni jasiri unashindwaje kumfukuza Tundu Lissu aliyesema chama chako kimepokea hela chafu?”

Pia soma
- Amos Makalla: CCM inasikitishwa sana na hela chafu zilizoingizwa CHADEMA na migawanyiko inayoendelea

Attachments

  • VID-20240714-WA0071.mp4
    12.2 MB

Unaweza kudhani unajenga kumbe unabomoa

Lissu alisema Kuna mihela ya mama Abdul imeletwa cdm kuwasambaratisha

Sasa huyu makala anataka pccb wamchunguze mama Abdul??
 
Dunia Ina mambo na Vijambo !!.

Wanawake 19 wamedharauliwa ,wamedhihakiwa kwelikweli , Tena ni Wanawake 19 wanaofanya kazi kwelikweli.

Ila yule Mwanamke Mmoja, Mzembe na mvivu ,alipoleta dharau ,akaambiwa, Hatuongei na Mume wako hapa....

RC Makonda alipigwa na maneno Kila Kona.
 
Mnafiki mkubwa. Unatukana watu halafu unatumia jina la Yesu. Stupid idiot.
kuwaita chadema nyumbu ni tusi? kwani uongo? mtu amekalia kiti, analamba asali ila msiojua bado mpo tayari hata kufa kwa ajili yake, mkiiitwa nyumbu wasiokuwa na ubongo wa kufikiri mtasema mmetukanwa?
 
Katibu Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM, CPA. Amos Makala amesema Mwenyekiti wa CHADEMA
Freeman Mbowe kama alishindwa kumfukuza Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu @TunduALissu
hana ujasiri hivyo asiwaaminishe watanzania kuwa kuna ujasiri wanapaswa kuwa nao.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara baina yake na wananchi wa Jimbo la Kibamba Makala amesema “kama Mbowe ni jasiri unashindwaje kesi na wanawake 19 wako bungeni.

Kama Mbowe ni jasiri unashindwaje kumfukuza Tundu Lissu aliyesema chama chako kimepokea hela chafu?”

Pia soma
- Amos Makalla: CCM inasikitishwa sana na hela chafu zilizoingizwa CHADEMA na migawanyiko inayoendelea

Huyu kifutu Makalla hana jambo lingine la kuzungumza kwenye mikutano yake ila ni Mbowe tu.
 
Mbowe huko kwingine mdhaifu lakini kushughulika na Lisu kwake kitu kidogo sana anamumudu anamlia timing tu
 
Katibu Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM, CPA. Amos Makala amesema Mwenyekiti wa CHADEMA
Freeman Mbowe kama alishindwa kumfukuza Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu @TunduALissu
hana ujasiri hivyo asiwaaminishe watanzania kuwa kuna ujasiri wanapaswa kuwa nao.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara baina yake na wananchi wa Jimbo la Kibamba Makala amesema “kama Mbowe ni jasiri unashindwaje kesi na wanawake 19 wako bungeni.

Kama Mbowe ni jasiri unashindwaje kumfukuza Tundu Lissu aliyesema chama chako kimepokea hela chafu?”

Pia soma
- Amos Makalla: CCM inasikitishwa sana na hela chafu zilizoingizwa CHADEMA na migawanyiko inayoendelea

Hapa ndipo unapojifariji, linda usomi wako uheshimiwe kwani sasa hivi hata watoto wako wanakudharau.
YOU WILL NEVER BE ANOTHER LAKHA.
 
Katibu Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM, CPA. Amos Makala amesema Mwenyekiti wa CHADEMA
Freeman Mbowe kama alishindwa kumfukuza Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu @TunduALissu
hana ujasiri hivyo asiwaaminishe watanzania kuwa kuna ujasiri wanapaswa kuwa nao.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara baina yake na wananchi wa Jimbo la Kibamba Makala amesema “kama Mbowe ni jasiri unashindwaje kesi na wanawake 19 wako bungeni.

Kama Mbowe ni jasiri unashindwaje kumfukuza Tundu Lissu aliyesema chama chako kimepokea hela chafu?”

Pia soma
- Amos Makalla: CCM inasikitishwa sana na hela chafu zilizoingizwa CHADEMA na migawanyiko inayoendelea

Hili bumunda halina akili kweli, kesi ya covid 19 iko Mahakamani alitaka Mbowe afanye nini juu ya mahakama? Na kuhusu Lissu , ni kuwa Lissu alimtuhumu Abdul na mama yake kuwa ndiyo wanapenyeza hela chafu kuivuruga Chadema, sasa Mbowe anaingiaje kwenye tuhuma zilizoelekezwa kwa Mama Abdul?
 
Katibu Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM, CPA. Amos Makala amesema Mwenyekiti wa CHADEMA
Freeman Mbowe kama alishindwa kumfukuza Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu @TunduALissu
hana ujasiri hivyo asiwaaminishe watanzania kuwa kuna ujasiri wanapaswa kuwa nao.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara baina yake na wananchi wa Jimbo la Kibamba Makala amesema “kama Mbowe ni jasiri unashindwaje kesi na wanawake 19 wako bungeni.

Kama Mbowe ni jasiri unashindwaje kumfukuza Tundu Lissu aliyesema chama chako kimepokea hela chafu?”

Pia soma
- Amos Makalla: CCM inasikitishwa sana na hela chafu zilizoingizwa CHADEMA na migawanyiko inayoendelea

Huyu mzee ni chizi haswa
 
Back
Top Bottom