Pre GE2025 Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Akikabidhi kijiti kwa furaha na bashasha.

Ila siku hizi ccm wameamua kuiba uchaguzi kupitia wakuu wa mikoa na wilaya ndiyo maana unaona aina ya wakuu wa mikoa na wilaya wanaowateua ni wale wanaweza kufanya hivyo.View attachment 2953001
2025 yanaweza yakaja Mengi , ngoja tuone Lisu nae atasukuma kete gani ila kwa hii safu ya mama ikienda hivi hadi 2025 lolote linawezekana,,,acha tuone na TEC nao kama watakua na move yeyote
 
Akikabidhi kijiti kwa furaha na bashasha.

Ila siku hizi ccm wameamua kuiba uchaguzi kupitia wakuu wa mikoa na wilaya ndiyo maana unaona aina ya wakuu wa mikoa na wilaya wanaowateua ni wale wanaweza kufanya hivyo.View attachment 2953001
Ni ngumu Santa sadist kupewa nchi madhara yake ni makubwa mno!!

Huyo hawezi pewa!
 
hiki chama kwakweli ni cha waTanzania wote...

shauku na hamasa ya waTanzania tangu kabla ya uteuzi huu ilikua kubwa mno mtaani, na sasa shangwe zimetamalaki kila kijiwe, stori ni ccm tu......,

mapenzi ya dhati wanayoonyesha waTanzania, utiifu wa wana ccm na mahaba ya wananchi kwa CCM na viongozi wake wateule ni kubwa mno na hayafichiki....

viva comrade Jokate Mwegelo and UVCCM viva....

Kidumu Chama Cha Mapinduzi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…