Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,836
- 2,138
Labda kama humjui Amos Makala,ukisikia CCM ina wenyewe,Amos na Nchimbi ni miongoni mwa hao "wenyewe".Chama kinarudi kwa wenyewe kwa kasi kubwaHana ubavu wa kuweza kushindana na yule dogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kama humjui Amos Makala,ukisikia CCM ina wenyewe,Amos na Nchimbi ni miongoni mwa hao "wenyewe".Chama kinarudi kwa wenyewe kwa kasi kubwaHana ubavu wa kuweza kushindana na yule dogo
Yule jamaa hajifunzi.Hahaaaaaa maisha yana siri nyingi sana. Alimbabaisha jamaa alipokiwa kwenye ziara Mwanza. Please,Amos Makalla ziara ya kwanza ya jujenga chama nenda Arusha please.
Yaah! Watoto wa mjini, wale washamba wa ile Kanda wataendelea kupiga makofi tu.Chama kinazidi kurudi kwa wenyewe!
Akikabidhi kijiti kwa furaha na bashasha.Samia atapata tabu sana 2025, labda asigombee
Ilisememekana hivyo pia kwa makonda kwamba ndio mwisho wa chadema kwa kuteuliwa kwake kuwa mwenezi wa chama, badala yake mwisho wake ukawa mfupi zaidi!Huyu Chadema wanamwogopa sana
I guessKwa UTEUZI huu na WA aina hii, CCM itafika mikononi mwa sir-100
SawaNdugu zangu Watanzania,
CCM Ni Chama ambacho huwezi ukakitabilia juu ya maamuzi yake,ni chama ambacho kinakwenda na mahitaji ya wakati ,ni chama ambacho kinawapa watanzania Radha tofauti tofauti.hii ndio sababu hakikauki midomoni mwao Watanzania wala kupungua upendo mioyoni mwa watanzania wala kushuka ushawishi wake kwa watanzania.
Sasa leo kimemteua mwana Dada maarufu na mahili na aliyeisomea siasa darasani Mheshimiwa Jokate Mwegelo kuwa katibu mkuu wa UVCCM ,ambapo unaweza kusema ni Nguli wa sayansi ya siasa kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam mahali alipopikwa akapikika.
Jokate anaifahamu vyema sana UVCCM kwani huko ndiko alikotokea ,unaweza kusema maji yamerejea katika mkondo wake na asili yake. Sasa jumuiya inakwenda kuwaka moto na kutikisa hapa nchini,hii ndio nguzo ya chama,ni tanuri la kuwapika viongozi wa kesho serikalini na ndani ya chama. Nilishamtabiria humu jukwaani jokate kuwa atafika mbali sana na kwamba mwakani lazima aingie mjengoni.Hongera sana Mheshimiwa Jokate kwa uteuzi huo.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Basi aanze yake kumi 2025.Sentensi ya mwisho ni kwa Marais wote wa wili wanatekeleza ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020-25.kwa Maana hiyo Rais Dr SSH anatumikia awamu ya Tano maana ndiyo ikoyotengeneza ilani hii ya mwaka 2020-2025.Au nakosea ndugu zangu??
Atarudishwa tu kwa sababu kuna mtu ana uroho wa madaraka sasa anadhani anaweza kufurahisha kila kundi ili wote wamuunge mkono kumbe wenzake hawana hata habari naye.Hizi teuzi awamu hii zimekuwa mtindo wa maisha.
Sabaya anakaribia kurudishwa ulingoni, a matter of time amalizie tu kifungo chake cha nje.