Pre GE2025 Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hapo safi, wenye akili tulijua. Makala ni kichwa, siyo mazuzu ya kutuharibia nchi
 
Same ‘ol same ‘ol!

It’s the same damn party and the same damn people.

There’s nothing to expect but the continuation of incompetence and ineptitude.

After several months there will be another recycling and fools will be out here felicitating Samia for a ‘job well done’.

So stupid.
 
Na huu mkeka umekuacha! Kazi ipo.

Usichoke kuweka namba hapo chini, iweke tafadhali. Kukata tamaa ni dhambi.
 
Yaani Lucas mwashambwa ana kimavi siyo cha nchi hii hata huu mkeka wa chama amekosa,kujitoa akili kote huku hadi anadhalilika huku JF,this is not fair at all.
 
Makalla safari ya utambulisho akaanzie Arusha itapendeza zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…