Pre GE2025 Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi

Pre GE2025 Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nimesubiri mno hadi nimechunda wizoo, nimeliaa mnooo 😭😭

Majitu mazee yanaokotwa na kupewa ulaji halafu mie shangazi machachari naachwa solemba kwelii wizoo 😭😭😭
Tatizo huko ccm sio kijana au mzee, Bali chama kizima ndio kina taswira ya uzee. Sasa hivi hata ukienda Ottu jazz na kujaza vijana walioko chini ya miaka 25, usitegemee vijana watapenda miziki Yao, maana tayari vijana wanaona hiyo ni bendi ya kizee. Ccm kama chama tayari kina sifa ya uzee, hata muweke vijana, tayari hicho chama hakiwezi kuvutia vijana. Ndio maana unaona mbeleko ya vyombo vya Dola tu kuwa tegemeo la ccm kubaki madarakani.
 
Ona huyu mshamba, kazi watafanya sababu wanataka hela ila will they make themselves alligned na malengo ya kazi yako..?
Umaskini umewapofusha kiasi cha kwamba mnadhani kila mfanyakazi wako ana mlengo sawa na wewe.
Kwan huwa wanawatumia hao wasanii kwa malengo gani? si ili wapate hadhira kubwa, sasa kama malengo ya kupata hadhira ili wauze sera na watu waone mikutano yao ina watu na mwishowe wakicheza michezo michafu wawe na kichaka cha kujifichia hawajafanikiwa? we unadhani wanawatumiaga hao wasanii kwa sababu et wako aligned na malengo yao? those are just like whores' pants mkuu, sijui unanielewa
 
Nimebidi kumchukulia kama watu wengine kwenye maisha yetu tukiwaona wakishindwa au kuwa na bahati mbaya kwenye kazi zao.

mfano changamoto iliyomkuta sana kipindi yupo mkuu wa mkoa bwana amos makalla ni kila alipopangiwa alikuta shida ambazo zishatokea majibu ya matatizo.

sasa kwenu wana CCM naweza fananisha lile ukuu wa mikoa kipindi kile cha masoko kuungua ndio kaja kuunguza CCM muanze upya maana mvutano mliojitengenezea umeshtukiwa.
 
Nyie watoto mnataka mwenezi anayepanda panda kuhadaa watu zile zilikuwa akili za mvuta bhange ndio maana hangaya kaona ampeleke huko wanapolima banghe na kunywa skanka akapambane na wahuni wenzake uwenezi haukumfaa.
 
Hapi ataacha kulima sasa.
Kilimo ilikuwa danganya toto ya kutafutia cheo, lengo lake limetimia.
Hicho kilimo Wala kilikuwa hakimlipi, kama kingekuwa kinamlipa asingekiacha na kurudi kwenye madaraka. Alikuwa anawakoga wajinga kwa kuwaonyesha furushi la pilipili mbuzi, utadhani pilipili zikiwa nyingi ni lazima upate faida kubwa.
 
Hakuna kilimo Cha simu boss. Ukitaka kulima lazima uwe mwenyewe shambani, lakini kilimo Cha kupiga simu kama wameweka mbegu, au kupiga dawa huwezi kutoboa.
Tatizo uko kwenye jembe la mkono
 
uzuri wa Paul makondo ni 1 anaenea kila sehemu yaani akiwa hana kazi anatosha akipata kazi anaenda, akiwa mkubwa anaenea na akiwa mdogo kadhalika anaenda

kwangu namuona kama mtu fulani hivi mkubwa huko mbele ambaye atakuja kulikomboa hili taifa, viva makondo viva Arusha
 
Back
Top Bottom