johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Amos Makalla amesema yeye ni Mtoto wa Mjini amezaliwa Kilwa road na wazazi wake Wote ni askari Polisi
Makalla amesema yuko tayari kwa mdahalo na Mwanasiasa yoyote Wakati wowote na pia yuko tayari kwa Siasa za maridhiano na hayuko tayari kwa Siasa za viroja
Credit: Michuzi TV
Ramadan Mubarak 😄