Amos Makalla: Nimezaliwa Ocean Road, Baba Polisi, Mama Polisi

Amos Makalla: Nimezaliwa Ocean Road, Baba Polisi, Mama Polisi

Wakati huo huo nchimbi nayeye ni mtoto wa kota za polisi moshi,
ali hapi katibu wazazi nayeye ni zao la polisi na bado kuna uhasama wa kimaslahi kati ya ccm na polisi😁😁😁
Shida ni gani hapo??
20240405_060058.jpg
 
Acha kumlisha maneno hajaongea mimi mtoto wa mjini! Kasema yeye kazaliwa hapa hapa! Unadhani kuanza kuongea yeye mtoto wa mjini kana kwamba CCM ni ya watu wa mjini tu! Hawezi kuijiingiza kwenye sintofahamu hiyo! Wewe umeona Makonda alivyoingia kwenye matatizo kwa kauli zake!
Halafu uachage ubwege na Wewe

Aliyezaliwa na kukulia Mjini anaitwaje?!
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Amos Makalla amesema yeye ni Mtoto wa Mjini amezaliwa Kilwa road na wazazi wake Wote ni askari Polisi

Makalla amesema yuko tayari kwa mdahalo na Mwanasiasa yoyote Wakati wowote na pia yuko tayari kwa Siasa za maridhiano na hayuko tayari kwa Siasa za viroja

Credit: Michuzi TV

Ramadan Mubarak 😄
Mzee Tupatupa Kuna mwingine huku!!
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Amos Makalla amesema yeye ni Mtoto wa Mjini amezaliwa Kilwa road na wazazi wake Wote ni askari Polisi

Makalla amesema yuko tayari kwa mdahalo na Mwanasiasa yoyote Wakati wowote na pia yuko tayari kwa Siasa za maridhiano na hayuko tayari kwa Siasa za viroja

Credit: Michuzi TV

Ramadan Mubarak 😄
Futuhi
 
Back
Top Bottom