Amos Makalla: Nimezaliwa Ocean Road, Baba Polisi, Mama Polisi

Amos Makalla: Nimezaliwa Ocean Road, Baba Polisi, Mama Polisi

Moja ya sehem alizofel Samia ni hapa pia.

Makala? Mtoto wa mjini kunahusiana vipi na Maisha ya Wananchi?.

Jamaa Hana ushawishi wowote zaidi ya ushawishi kwenye genge lao la ufisadi.

Hapa CCM imechemkaaa
Hata aweko nani hapo. Kuongoza miaka zaidi 50 unachosha tu
 
View attachment 2954792
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Amos Makalla amesema yeye ni Mtoto wa Mjini amezaliwa Kilwa road na wazazi wake Wote ni askari Polisi

Makalla amesema yuko tayari kwa mdahalo na Mwanasiasa yoyote Wakati wowote na pia yuko tayari kwa Siasa za maridhiano na hayuko tayari kwa Siasa za viroja

Credit: Michuzi TV

Ramadan Mubarak 😄
Jamaa wameingia na nginja nginja, sasa Kigaila aliyezaliwa Kizuramimba sijui itakuwaje
 
View attachment 2954792
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Amos Makalla amesema yeye ni Mtoto wa Mjini amezaliwa Kilwa road na wazazi wake Wote ni askari Polisi

Makalla amesema yuko tayari kwa mdahalo na Mwanasiasa yoyote Wakati wowote na pia yuko tayari kwa Siasa za maridhiano na hayuko tayari kwa Siasa za viroja

Credit: Michuzi TV

Ramadan Mubarak 😄
Great thinkers mtanisamehe. Huyu jamaa namuona kama anahitaji tiba ya kisaikolojia kwa tangu alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro.... He is empty set.

Naona kama mama amependekeza jina lake kuwakomoa watu fulani na jahazi linaenda kuzama kwa speed nzuri sana. CCM tangu ngazi za juu hadi chini ni mabingwa wa kupanga safu za kuwahakikishia teuzi za wanaowaweka madarakani. Makonda ana mapungufu yake hususan eneo la Haki za Binadamu lakini at least ametusaidia kugundua udhaifu wa CCM ulipo. huyu jamaa mpya ni mgaigai hana jipya
 
Back
Top Bottom