johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
tuliza ball gentleman,Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Amos Makalla amesema yeye ni Mtoto wa Mjini amezaliwa Kilwa road na wazazi wake Wote ni askari Polisi
Namuona nyosh el saadat akiungana na patcho mwamba kuirudisha ngwasuma mjini!Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Amos Makalla amesema yeye ni Mtoto wa Mjini amezaliwa Kilwa road na wazazi wake Wote ni askari Polisi
Makalla amesema yuko tayari kwa mdahalo na Mwanasiasa yoyote Wakati wowote na pia yuko tayari kwa Siasa za maridhiano na hayuko tayari kwa Siasa za viroja
Credit: Michuzi TV
Ramadan Mubarak π
Kumbe makonda alikuwa anaiogopa?Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Amos Makalla amesema yeye ni Mtoto wa Mjini amezaliwa Kilwa road na wazazi wake Wote ni askari Polisi
Makalla amesema yuko tayari kwa mdahalo na Mwanasiasa yoyote Wakati wowote na pia yuko tayari kwa Siasa za maridhiano na hayuko tayari kwa Siasa za viroja
Credit: Michuzi TV
Ramadan Mubarak π
Anapiga jungu kuwa yeye ni mtoto wa mjini japo hajataja moja kwa moja neno mtoto wa mjini! Kwa maana hiyo waliokuwepo sio watoto wa hapo hapo Dar!Kwa hiyo anatuogopesha na hao mapolisi au!
Sasa ndani ya CCM amchukue nani? Sioni Mwenye uwezo.Moja ya sehem alizofel Samia ni hapa pia...
Bora iwe hivyo, tumemisi nyimbo za Dunia Kigeugeu π πNamuona nyosh el saadat akiungana na patcho mwamba kuirudisha ngwasuma mjini!
Anna nimepanda mtumbwi na kasia hakuna sijui nitavuka papaa Amos makalla pedeshee mutoto ya ng'ombe kipara kipyaa wazee ya mujini!Bora iwe hivyo, tumemisi nyimbo za Dunia Kigeugeu π π
π€£π€£π€£π€£Huyu tayari amesha kuwa na tatizo la afya ya akili.
Huyu sie yule Rc wa Arusha
Itakuwa hatari Mjini π€Anna nimepanda mtumbwi na kasia hakuna sijui nitavuka papaa Amos makalla pedeshee mutoto ya ng'ombe kipara kipyaa wazee ya mujini!