Amos Makalla: Nimezaliwa Ocean Road, Baba Polisi, Mama Polisi

Kila mtu mtoto wa mjini sie wa Lutindi tuwaachie chama chao
 
Mazee Pedejee Makala, Papaa wa mujini, tuonane viwanja!
From Papaa Bakulutu!
 
Fm Academia irudi rasmi sasa naona mapapaa yamerudi..!! Ila baba Gabi kashaanza kuwaalika wasanii
 
Remote iko Msoga, hapa Mazer amefeli sana
 
Hivi ukishepewa Chep cha Uenezi wa chama Lazma Akili ikuchomoke Kwanza???
 
Huyu bumunda kujivunia utoto wa mjini anampiga dongo Makonda kuwa ni mshamba wa kolomije ndiyo maana kapigwa chini ili apewe yeye mtoto wa mjini.
 
Ndo kajanna style hii?? Keshafeli huyu
 
Kwahiyo atakuwa mwenezi wa hapo alipozaliwa?
 
SOo what!!! Upumbavu mtupu hatishiki mtu tena! Risasi, mahabusu, kutekana, kubambikia kesi vyote vimeshindwa halafu unatuletea issue za manjagu wazazi wako? GO TO HELL
 
Kajaribiwa kidgo kaingia mzima mzima
 
Amos Makalla: Nimezaliwa Ocean Road, Baba Polisi, Mama Polisi

Your browser is not able to display this video.
 
Vyovyote aseme haina shida kikubwa asifikie kuona yeye ndio yeye akaota mapembe hata kufikia kuohoji wasio katika teuzi zake,adeal kichama tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…