Amos Makalla: Ukosefu wa maji ni kudra za Mungu wala sio ilani ya CCM. Ilani haiwezi kuleta mvua

Ndio mana sizipendi hizi dini..zinaua uwezo wa kufikiri kabisa.

Yaani utabiri ulishatolewa kisha mnaaza kuleta ngonjera za kudra upuuzi mtupu.. CCM ni janga kwa hii nchi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mtu kama huyu anakuaje mkuu wa mkoa kama Dar es Salaam!
 
Ipo din inaongeza uwezo wa fikra
Ndio mana sizipendi hizi dini..zinaua uwezo wa kufikiri kabisa.

Yaani utabiri ulishatolewa kisha mnaaza kuleta ngonjera za kudra upuuzi mtupu.. CCM ni janga kwa hii nchi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kama majibu ni hayo ya serikali, Je nini dhima ya kuwa na mamlaka ya hali ya hewa? Serikali kama serikali inaitumiaje taarfa za hali ya hewa kwa mda wote ? Je mamlaka ya hali ya hewa ni kujulisha tu wananchi huku serikali ikilala usingizi wa pono huku trend ya hali ya hewa ikiwekwa wazi miakanenda rudi ?
 

Huyu ndio maana Magufuli alimtumbulia mbali.

 
Well said Mkuu.....
 
Jamani eee nafikiri tushapata majibu ya uhaba wa maji,,, turudi kwenye mjadala wa mechi yetu ya kesho.
 
Inasikitisha
 
hajielewi huyoo
 
Mungu mwenyewe anasema tafuteni na mimi nitawapa ajasema nyie kaeni me nitawapa waache kumsingizia mungu kwenye mambo ya ajabu.

kuna nchi wanachange maji ya chumvi yanakuwa maji fresh wanatumia kupikia , kumwagilia na matumizi mengine sisi tunashindwa nini wakati deal tunakusanya kodi matrilion kwa matrion kila mwezi na mikopo juu tunachukua .
 
ThinkTank ya CCM hiyo
Aliwahi kuwa mweka hazina wa chama huyo.

Mpaka leo CCM inaamini kilimo cha mvua pekee. No wonder hata vyanzo vya maji wanategemea mvua zinyeshe milimani.

Tuna hasara kubwa sana kama nchi ikiendelea kuwa chini ya CCM. Wao wanawaza madaraka kupitia wizi wa kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…