King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Si mchezo ,majibu mepesi kwenye issue sensitive.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Jamaa sio wa kubeza!!ThinkTank ya CCM hiyo
Aliwahi kuwa mweka hazina wa chama huyo.
Mpaka leo CCM inaamini kilimo cha mvua pekee. No wonder hata vyanzo vya maji wanategemea mvua zinyeshe milimani.
Tuna hasara kubwa sana kama nchi ikiendelea kuwa chini ya CCM. Wao wanawaza madaraka kupitia wizi wa kura
Bahati mbaya sana asilimia 99% ya wanaCCM wana makazi jehanamuHuyu Jamaa sio wa kubeza!!
Anatumika kuona hatari Kuwa kawaida halafu unajikuta unawajibishwa!
Wanaomtumia wanaomtumia KWA hesabu zao za mbali Sana!
HIYO NDIO KAULI YA BOSS WAKE... NA NDIO MSIMAMO WAKE...Sasa hiki ni kipimo kingine kwa Rais!
Kwa shida wanayopata wananchi ukiwa kiongozi tena mteule wa Rais haifai kusema hivi..Makala hafai...ila uzuri amesema mbele ya bosi ngoja tuone.
Poleni ndugu zangu, manake siku zote mnaambiwa wataendelea kutawala 'milele'...... africa kaazi kwelikweli.Huyu jamaa anasema CCM haileti mvua, akajisahau mbele akasema wameingia mkataba sijui wa kujenga bwawa wapi huko mjini dar es salaam ivyo tatizo litakwisha kabisa
Ivi CCM Nani kawaloga ? Watanzania tumemkosea wapi mungu ,hii mipango ya kutuambia sisi miaka hamsini ya Uhuru?
Ikiiba kura yakikaa madarani, inawaza miaka mitano mbele ,wataiba kura vip, hakuna vitu vingine yanawaza
Huyu akili zipo kwenye mashavu.. siyo mara yake ya Kwanza kumsingizia mungu.Leo JNICC mkuu wa mkoa wa Dar, Amos Makalla akiwa kwenye kongamano la nishati ya gesi ya kupikia linalodhaminiwa na Taifa Gas ameongelea changamoto ya maji Dar mbele ya Rais Samia.
Amos Makala: Mamlaka ya hali ya hewa ilishatabiri, kwamba kutakuwa na kipindi kirefu cha ukame, kwahiyo ni kwamba chanzo cha ukosefu wa maji ni kudra za mwenyezi Mungu na wala sio ilani ya chama cha mapinduzi maana huwezi ilani ikataja ikaleta mvua kwa hiyo haya ni mambo ambayo yako nje ya uwezo wetu.
========
Hivi wale waarabu wa jangwani wangekuwa wanasubiri kudra za Mungu si wangekuwa wamekufa kwa kiu na ukame! Kama kupatikana maji safi ni nje ya uwezo wenu mtupishe maana hatutayapata mpaka tunakufa.
Huyu ni Mungu wa ajabu kama sio Makalla ni wa ajabu!Leo JNICC mkuu wa mkoa wa Dar, Amos Makalla akiwa kwenye kongamano la nishati ya gesi ya kupikia linalodhaminiwa na Taifa Gas ameongelea changamoto ya maji Dar mbele ya Rais Samia.
Amos Makala: Mamlaka ya hali ya hewa ilishatabiri, kwamba kutakuwa na kipindi kirefu cha ukame, kwahiyo ni kwamba chanzo cha ukosefu wa maji ni kudra za mwenyezi Mungu na wala sio ilani ya chama cha mapinduzi maana huwezi ilani ikataja ikaleta mvua kwa hiyo haya ni mambo ambayo yako nje ya uwezo wetu.
========
Hivi wale waarabu wa jangwani wangekuwa wanasubiri kudra za Mungu si wangekuwa wamekufa kwa kiu na ukame! Kama kupatikana maji safi ni nje ya uwezo wenu mtupishe maana hatutayapata mpaka tunakufa.
HUYO MAMA NDIYE KAMTUMA ASEME KAULI HIZO...HAJASEMA KWA MAPENZI YAKE HUYO...Mama awe mkali,hizi ni sababu za kisiasa,naskia tena kuna na bodi ya mikopo inamgomea waziri,dah! akitumbua watendaji kadhaa utashangaa hata mgao umeisha.