Amos Makalla: Ukosefu wa maji ni kudra za Mungu wala sio ilani ya CCM. Ilani haiwezi kuleta mvua

CHADEMA wamepata mtaji wa Kisiasa, kuendeleza zile vurugu za kiuharakati. Nchi yetu, nina wasiwasi itaingizwa kwenye giza nene huko mbeleni. Wameanza na Kariakoo kwa kutumia mbinu za Kiuhujumu Uchumi? kuendeleza ajenda zao za kutugawa kimatabaka baada ya kushindwa chaguzi.
 
Chadema haihusiki na kiburi cha TRA

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Bye Bye U DaRt
Bye Bye Bandari
Bye Bye Tanesco
Bye Bye DAWASA
Bye Bye Loliondo na Ngorongoro
Bye Bye Tarime

well, at last but not least
Bye Bye CCM

Rudisha kadi, yani kila Umeme unavyokatika mtaani kwenu, mjipange kurudisha kadi za Uanachama za CCM. Taa zinawaka tu, paaap Unarudisha kadi.

Umeme utarudi na bai bai itakayobaki itakuwa kwa hawa Mafisadi wa Nchi yetu tu.
 
Back
Top Bottom