Ampa talaka mke wake kisa kunyoa sehemu za siri alipokwenda msibani

Issue sio kunyoa, bali kunyoa kumeleta ushahidi wa kile mume alikuwa ana suspect..
1. Msiba likely uko kwao mwanamke na huko Kuna makoloni yake
2. Mume alitoa ruhusu shingo upande akijua Kuna uwezekano wa kugongewa!
3. Mke aliyeenda kuhuzunika anapata wapi faragha ya kunyoa, Hali ya kuwa hata kupiga mswaki inakuwa mbinde!
4. Ukiona amenyonyolewa, ujue ameliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ