Ampa talaka mke wake kisa kunyoa sehemu za siri alipokwenda msibani

Yani kafanya usafi nako ni tatizo?
Mshana, huko msibani nafasi ya kuingia bafuni àu chooni kuanzá kunyoa mavuzi inatoka wapi?
Huyo kanyolewa, unachimba kisima kwenye msitu mnene kweli? Lazima ufyeke nyasi kwanza.
 
Itakuwa yeye pia huwanyoa anaowapitia. Sasa kapiga picha na kugundua wa kwake pia kanyolewa
 
Sema makomredi kuna namna mkeo akinyoa nyoa ghafla bila sababu za kimsingi kuna machale yanakucheza sana......

All in all mke anauma........

Kataa ndoa hawawezi kunielewa....sema malegend wamenielewa.....

Unaweza kuona kama jamaa ana gubu lakini.....
 
Mkuu Hapa haya maswali yangejibika kama ingejulikana huyo Mama alikaa huko kwa muda gani?

Waeza kuta alimaliza hadi 40 hapo kuna shida gani kurudi akiwa swafi Mkuu?
Hakuna mwanaume mjinga eti uende msibani wiki nzima urudi umenyoa mgombane. Huyo katoka asb karudi usiku na kipara.
 
Yupo sawa mara nyingi mtu akinyoa ujue ni tatzo
 
Hakuna mwanaume mjinga eti uende msibani wiki nzima urudi umenyoa mgombane. Huyo katoka asb karudi usiku na kipara.
We hata ukae miezi sita, akirudi ayakute ya miezi 6 au 8.

ahahahahhahahahahahahahahha, ila mapenzi!
 
Unaweza kuta kumbukizi ya kazi ya binamu wa enzi ujana. Duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…