Ampa talaka mke wake kisa kunyoa sehemu za siri alipokwenda msibani

Bwana anayo haki kutoa talaka, kuna wanaume wao ndyo wanyoz wa wake zao. Sasa kama hajanyolewa na mumewe nani kamnyoa!? Changamoto.
 
Yani kafanya usafi nako ni tatizo?
Wrong timing, kamnyolea mtu huko 'msibani'. Yaani nyumbani siku zote anaishi na 'msitu' kwenda kulala msibani ndiyo anyoe, ili nani 'aone' hilo shaved tumbua. The dude is hundred percent right kwa kumpiga chini, ground ilisafishwa kwa sababu maalum ina maana jamaa anamjua huyo mtalaka wake kuwa huwa hana hulka ya kunyoa na wala hapendi hivyo akastukia ya kuwa kainyolea njemba nyingine isiyopenda huo uchafu.
 
Na hz ajar za siku hizi,ni vizur kunyoa kabla hujasafir isije ukapata ajari ukafariki waosha maiti wakabak wanashangaa vuzi lako
Ni ukweli kabisa, hata kama hujafa umepelekwa hospital sasa wakutoe nguo wanakutana na vyura daa aibu, kuna dada mimba iliharibika kutaka kumsafisha wanakutana na Amazon eti mmewe hataki kunyoa ni lastaman🤣🤣🤣
 
Hiyo background kwenye picha mbona ni ya chama fulani kuna uhusiano.
 
Alipata wapi nafasi, sababu na muda wa kunyoa mavuzi msibani ?
 
Si mnapitishwaga kwenye tanuru la party za jikoni kabla ya ndoa?
Au hizo party Lengo kutunzana tu na sio mafunzo?
 
Huwezi jua msibani kwny rika sogozi wenzie wakamsanua kuwa nywele kwny kipochi sio dili akaona anyoe kabisa ndo aende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…