Hii ni mifano michache inayokazia nukta chache ambazo tunaonekana kuwa kwenye mkumbo wa kujadili baadhi ya vitu kimazoea.Umeanza kuleta siasa uzi unahusu kuhairisha mechi wewe unarukia kwenye mambo ya mshindi wa CRDB jikite kwenye uzi
Siyo hawana nguvu dhidi ya Simba wanayo sana ila wameacha weledi kwa sababu kinachowasumbua ni ushabiki wao dhidi ya timu yao ya Simba na wanataka lazima achukue kombe ili rekodi yao ya kuchukua mara nne tusiivunje.Huu ndio ukweli sema basi tu ila bodi na tff wana nguvu sana dhidi ya yanga ila hawakuwa na nguvu dhdi ya Simba Ile trh 8
Unaweza kuwa na macho na usione.Hayo mambo yasio onekana peleka kwa manabii na waganga
Ni wapi kanuni zinasema timu isipo fanya mazoezi isicheze mechi? Taifa stars walizuiliwa Morocco mechi haikuchezwa? Unaleta maneno mengi ya kisiasa kama mwenyezi wa CCMUnaweza kuwa na macho na usione.
Na hii inaweza kuleta shida ziaid kama una argue na mtu ambaye hajui matumizi ya metaphor kwenye maneno.
Wewe ni mpenda ligi za kitoto hakuna ambae hakujuiHii ni mifano michache inayokazia nukta chache ambazo tunaonekana kuwa kwenye mkumbo wa kujadili baadhi ya vitu kimazoea.
Amri Kiemba anaweza kukosea kama ambavyo CEO wa Yanga asivyojua pesa anayolipwa mshindi wa CRDB.
Kwamba nawewe umeielewa sio kwa sababu inaeleweka au ni legit ila kwasababu ina positive interest kwenye upande wako?Huwezi kuielewa sababu imenufaisha upande wako,so kwa wengine ni sababu tena ya Msingi.
Huyo ni mtoto mzoeeNi wapi kanuni zinasema timu isipo fanya mazoezi isicheze mechi? Taifa stars walizuiliwa Morocco mechi haikuchezwa? Unaleta maneno mengi ya kisiasa kama mwenyezi wa CCM
Taifa Stars huko Morroco kulikuwa na viashiria vya uvunjifu wa amani?Ni wapi kanuni zinasema timu isipo fanya mazoezi isicheze mechi? Taifa stars walizuiliwa Morocco mechi haikuchezwa? Unaleta maneno mengi ya kisiasa kama mwenyezi wa CCM
Ligi za kitoto zinaletwa na timu yako.Wewe ni mpenda ligi za kitoto hakuna ambae hakujui
Wewe jamaa ni mtoto piga picha akili kama hizi ndo zinakuwa viongoziTaifa Stars huko Morroco kulikuwa na viashiria vya uvunjifu wa amani?
Kulikuwa na conspirancy za rushwa?
Unaelewa sababu ya mechi kuahirishwa iliyotajwa na bodi ya ligi?
Unasemelea?Huyo ni mtoto mzoee
Kule mwanza vs pamba simba walifanyiwa zengwe kabla ya mechi mpaka baadhi ya viongozi wao wakawekwa ndani ila hawakugomea mechi
Wewe ni mtoto ila ukikua utaachaLigi za kitoto zinaletwa na timu yako.
Unaanzaje kuidai TFF pesa ambayo haikuwa stahiki yako?
kwahiyo umeelewa kwamba sababu ya kuaghairisha mechi ni muhimu!!!Ila hiyo sio sababu iliyotajwa ya mechi kuahirishwa.
Hapa ndipo napoona Amri Kiemba amewachota.
Chizi mmoja hiviAmri kiemba ndiyo nani hapo utopoloni
Kwahiyo na wewe unataka usikilizwe.Amri Kiemba sio lazima hadi yeye aone na kuielewa sababu ndio ionekane ni sababu.
Tumia akili japo huna, vurugu zilifanyika tarehe 7 usiku asubuh ya tarehe 8 bodi walitoa taarifa mechi ipo so unataka kuniambia viashilia vya rushwa na uvunjifu wa amani virifanyika saa Saba mchana? Na kama hivyo vilitokea wanapangaje mechi bila kuwajibishwa waliosababisha mchezo kuvunjika what if tarehe 15 yakikirudia!Taifa Stars huko Morroco kulikuwa na viashiria vya uvunjifu wa amani?
Kulikuwa na conspirancy za rushwa?
Unaelewa sababu ya mechi kuahirishwa iliyotajwa na bodi ya ligi?
Yap kama wewe unavyo ikataa sababu inakunufaisha wewe. Sasa kipi cha ajabu,halafu Kiembe ni Legend wenu, Farhan,Edo ni Kolo FC ila wameamua kisimamia wanacho kimabinu kama Kiembe kwamba siku bodi na TFF walikosea kuhairisha mechi.Kwamba nawewe umeielewa sio kwa sababu inaeleweka au ni legit ila kwasababu ina positive interest kwenye upande wako?
VIongozi wako wa Yanga waliwahi kukuonesha mkataba wa Kagoma. Leo wote tunajua Kagoma yupo Simba.Wewe jamaa ni mtoto piga picha akili kama hizi ndo zinakuwa viongozi
Mbona takukuru wahusika wa kupambana na rushwa ni miezi minne hawaongea lolote