Amri Kiemba: Hakukuwa na sababu ya msingi iliyopelekea kuahirishwa kwa derby ya tarehe 8 March

Sio fadhila.


Yani ni kuishi kwenye ile definition ya "kabla ya kuona kibanzi kilicho kwenye jicho la mwingine, kwanza utoe boriti iliyoko kwenye jicho lako".

Pale unapopinga busara kutumika katika maeneo ambayo hayaendi kukufaidisha wewe na ku demand sheria itumike ilihali wewe mwenyewe una mambo kibao umekingiwa kifua kupitia hizo hizo busara.

Ni sawa na malalamiko ya Yanga waliyoyatoa kwenda bodi ya ligi yenye kurasa 170 kuhusu marefa wanaoonekana kuzibeba baadhi ya timu kwenye maamuzi ya viwanjani.

Halafu kwenye hiyo list hakuna sehemu yeyote ambayo Yanga imetaja matukio ya wao kunufaika na makosa hayo ya waamuzi.

Huo unakuwa ni unafiki.
 
Makusudi ipi? Maana unacho kipinga hukujui,si nimetuma na screenshot? Nimekuuliza yule sio ww uliye post.Sasa kama unakataa mpaka ulicho post ww mimi nitakuelewa vipi?
Huko nilishatoka nishajua hii inayoonekana kama controversial ya kutoelewa hoja yangu haufanyi kwa makusudi.

So let's move on.
 
Reactions: Tui
Simba wana bebwa ila wanalazimisha waonekane wana haki.
 
Huko nilishatoka nishajua hii inayoonekana kama controversial ya kutoelewa hoja yangu haufanyi kwa makusudi.

So let's move on.
Risiti ambazo comment zako zipo hamna controversial.Kuna uwezekano hata alicho kiandika kiemba hujakielewa.
 
Tatizo wala siyo kuhusu busara ni ukosefu wa elimu ya kukabiliana na majanga, (lack of crisis management skills)

Yasiyotarajiwa ama changamoto zinatakiwa zitatuliwe ama kukabiliana nazo kwa wakati na Kwa weledi, (Kwa majibu ya uhakika), ama kwa fikra chanya
 
Aha! Kwahiyo huo uhuni mlipoufanya mkaona simba hawajafanya chochote mkaona uwe utaratibu wenu wa kawaida kuwafanyia hivyo Simba?

Kwahiyo ndiyo Maana Simba waliona wakiendelea kufanyiwa upumbavu kama huu halafu wanyamaze kimya yatakuwa mazoea na mtaendelea na upumbavu wenu.
Ndiyo Maana simba waliandika barua kuomba mchezo usifanyike ili ufanyike uchunguzi kubaini ni nani anafanya upumbavu huu na anatumwa na nani.
 
Wewe ni mkubwa huu mjadala tuachie watoto wanaonekana ku fit zaidi kuliko wewe.
Kumuelewesha utopolo hadi akuelewe ni vema ukapewa Kazi ya kuwafundisha Bata kusoma na kuandika watajua mapema kuliko hiyo Kazi uliyojipa ya kuwaelewesha hao watu.

Usifikiri Manara alikuwa anaongopa
 
Busara ipo kwenye sheria??

Kama haipo basi Yanga wako sahihi kudai wanachodai, na kama bodi wameona hawa watu wanataka sheria, basi na wao wazitumie hizo sheria waende kisheria sheria na sio kibusara busara maana njia ya busara inaonekana kua na dosari mpaka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…