THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
- Thread starter
- #21
Yani nimefurahi sana waarabu wote Out Machizi hawa..Sio kwamba Racism ila washikaji hua wanajiona wao sio kama wa huku Africa.safi sana, morocco wanacheza kistar sana, yaani ukiwaangalia wachezaj ni kama wanasema, haya mashindano siyo level yetu tunacheza basi tu.