THE FIRST BORN JF-Expert Member Joined Apr 24, 2019 Posts 2,224 Reaction score 4,472 Jan 31, 2024 Thread starter #21 granitized said: safi sana, morocco wanacheza kistar sana, yaani ukiwaangalia wachezaj ni kama wanasema, haya mashindano siyo level yetu tunacheza basi tu. Click to expand... Yani nimefurahi sana waarabu wote Out Machizi hawa..Sio kwamba Racism ila washikaji hua wanajiona wao sio kama wa huku Africa.
granitized said: safi sana, morocco wanacheza kistar sana, yaani ukiwaangalia wachezaj ni kama wanasema, haya mashindano siyo level yetu tunacheza basi tu. Click to expand... Yani nimefurahi sana waarabu wote Out Machizi hawa..Sio kwamba Racism ila washikaji hua wanajiona wao sio kama wa huku Africa.
B Benny Haraba JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 13,336 Reaction score 12,370 Jan 31, 2024 #22 THE FIRST BORN said: Takwimu za FIFA wakat kuna wakat Belgium alioongoza na hana chochote Click to expand... Tusubiri michuano ya AFCON imalizike tuone bingwa wa sasa Africa ni nani kwasasa tuache viwango vikirishi
THE FIRST BORN said: Takwimu za FIFA wakat kuna wakat Belgium alioongoza na hana chochote Click to expand... Tusubiri michuano ya AFCON imalizike tuone bingwa wa sasa Africa ni nani kwasasa tuache viwango vikirishi
S Somi JF-Expert Member Joined Feb 7, 2009 Posts 3,921 Reaction score 4,858 Jan 31, 2024 #23 Amrouche naye alibebwa Hana uwezo wa kufundisha Taifa stars
THE FIRST BORN JF-Expert Member Joined Apr 24, 2019 Posts 2,224 Reaction score 4,472 Jan 31, 2024 Thread starter #24 Somi said: Amrouche naye alibebwa Hana uwezo wa kufundisha Taifa stars Click to expand... Sasa we hata umlete GUARDIOLA kwa wachezaji wa kiwango cha HAJI MNOGA na Kina SAMATTA unahisi atafika wapi? Plus kina MWAMNYETO?
Somi said: Amrouche naye alibebwa Hana uwezo wa kufundisha Taifa stars Click to expand... Sasa we hata umlete GUARDIOLA kwa wachezaji wa kiwango cha HAJI MNOGA na Kina SAMATTA unahisi atafika wapi? Plus kina MWAMNYETO?