Amsterdam and partners LLP wamlima barua Rais Magufuli na Jaji Mkuu, wabainisha njama zote zinazosukwa

Amsterdam and partners LLP wamlima barua Rais Magufuli na Jaji Mkuu, wabainisha njama zote zinazosukwa

Has
Lissu ananyoosha watu na hakika watasghulikiwa kimataifa.

Lissu anaweza kupata support ya kimataifa kama ilivyokuwa kwa Mandela wakati yuko gerezani.
Hasa kwenye uchaguzi wa mwaka huu, Tundu Lissu kura nyingi zitatoka kwenye mataifa ya nje! Ushindi wake utatokana na kura za wabelbgiji.,waingereza, nk.
 
Then those who think we are heading into that direction have their stationed ambassadors to air that view first, not some law firm who keep issuing empty threats with the belief we are a nation gullibles from the advice of his sick client.

Taratibu kiongozi, roho isije ikakutoka bure kwa kupigania ushenzi na uharamia. Tume ni yenu na kila chombo muhimu ni chenu pia. Mishipa ya nini shingoni namna hiyo? Sisiemu ikitoka madarakani utapungukiwa nini?
 
Kwakweli sipungikiwi kitu hila Lissu atagawa mali za taifa bure kwa mabeberu.

Na wewe Lissu akishinda unapata faida gani mbona kama hasira unaniletea mimi.
 
Kwakweli sipungikiwi kitu hila Lissu atagawa mali za taifa bure kwa mabeberu.

Na wewe Lissu akishinda unapata faida gani mbona kama hasira unaniletea mimi.
Hoja mu hizi zilishapitwa na wakati. Maneno ya mwaka 47
 
Kuna watu wanadharau Sana Eti law firm.. Jambo msilolijua ni mataifa makubwa operation zake nyingi they use law firms, institutions mbalimbali, companies etc.. Hao huwa Wanakuwa vivuli ila nyuma yao wapo CIA etc.
Hili nalo neno!
 
Hii nchi huru kama we unajiona upo utumwani unawezq kuhami nchi jirani. Na hao wanaotutafuta wapo siku zote tokea enzo za mwalimu kasome historia tuliwashughulikia nao na tutaendelea kushughulika nao siku zote.
kumbe fikra pevu aliondoka nazo mw nyerere , why mnajitoa ufahamu kwa kuangalia leona sio kesho yako,eti kama niko utumwani niende nchi jirani , wasema kama vile unayo hatimilki na taifa , ahami mtu hapa na msituletee migogoro isiyo kua na kichwa wala miguu kutualibia taifaifa ,
 
Mimi
Sijui kama watu wanaelewa.

Nilisema mwaka mmoja uliopita kuwa maamuzi juu ya utawala wa awamu ya 5 yalikwishafanyika tangu mwakajana. Wanasubiriwa kwenye ncha 4, na moja tu itatosha implementation ya maamuzi.

Kama wanaotegemewa ni hawa wapiga majungu na mabingwa wa kuteka, hawataisaidia serikali, badala yake watu wataingia wazima wazima, kisha kuduwaa na kishangaa imewezekana vipi utekelezaji ukawa haraka namna hii.

Ukiwa na mshindani anayejua na anayetegemea namna utakavyofanya, halafu ukafanya vile vile kama alivyokuwa anategemea, ujue umeisha na umefeli kikamilifu. Ndiko watu wanakoelekea.

Amsterdam siyo wao bali ni jamii ya kimataifa. Barua hizi hazina lengo la kuonya wala kutisha bali kukamilisha hatua zote kama ilivyoamliwa namna ya kutekeleza.

Watakaoshindwa kuelewa, wasubirie. Kenge huwa hasikii mpaka atoke damu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimeshakuelewa mwalimu
 
Nilishtuka pale walipoandila barua ya mwanzo wakiwapa Onyo Kuanzia DCI, CDF, DIGIS, GDPP, CJ, nilishangaa sana. Maana hawa watu huwa hawaguswi hata kuwataja jina tu.

Kifupi Salama ya JPM sio ile ya zamani. Aache uchaguzi ufanyike kwa amani. Kama watanzania wanampenda watamchagu. NEC ni yake akishinda itamtangaza.
 
Kuna watu wanadharau Sana Eti law firm.. Jambo msilolijua ni mataifa makubwa operation zake nyingi they use law firms, institutions mbalimbali, companies etc.. Hao huwa Wanakuwa vivuli ila nyuma yao wapo CIA etc.
Wameshasema watatuma international investigators. Jiulize samepata kibali wapi cha kuingiza foreign investigators kwenye nchi huru?
 
Mbona mnapenda kupotosha kama vile wewe peke yako ndio unasikia anachokiongea Lissu. Chuki zenu dhidi ya Lissu zisiwafanye mataahira. Lissu alisema akiibiwa kura hatakubali. Atadai haki yake. Moja ya njia ya kudai haki yake ni kuingiza watu barabarani. Sasa wewe kwa maksudi unapotosha eti akishindwa ataingiza watu barabarani, you are pathetic.
Achana na hao waganga njaa na wapwa tuinuane.
 
Kuna watu wanadharau Sana Eti law firm.. Jambo msilolijua ni mataifa makubwa operation zake nyingi they use law firms, institutions mbalimbali, companies etc.. Hao huwa Wanakuwa vivuli ila nyuma yao wapo CIA etc.

mkiwapa wananchi haki basi hawatakuwa na haja ya kukimbilia kwa watemi wa dunia ili wawasaidie kuwaminya kidogo muache udhalimu wenu!
 
Kwa hiyo na wewe unashabikia hayo mataifa yatuchagulke raisi!! Ili baadae huyo rais awalipe nini kwa huo wema wao!! Kondoo sana wewe.

Tena hizo barua kama ni za kweli ndiyo zinamharibia huyo mpumiliwa kisogoni wenu. Zinamuondolea imani kwa wapiga kura
Rais anachaguliwa na Watanzania. Acheni tumchague tunaye mtaka.

Uzuri ni kuwa TAL watanzania wameshampokea vyema, system ya kimataifa imeshapigia Tick.

Nyie si mnasema system ndio inaweka Rais tanzania. Sasa tuone system yanu ya utopolo na system yetu international nani mbabe.

Kamuulize Hilary clinton US walimfanyia nini. System yetu inaagalia wananchi wanataka nini?
 
Back
Top Bottom