Kitwa-Mulomoni
JF-Expert Member
- Oct 25, 2016
- 1,779
- 1,119
Has
Hasa kwenye uchaguzi wa mwaka huu, Tundu Lissu kura nyingi zitatoka kwenye mataifa ya nje! Ushindi wake utatokana na kura za wabelbgiji.,waingereza, nk.Lissu ananyoosha watu na hakika watasghulikiwa kimataifa.
Lissu anaweza kupata support ya kimataifa kama ilivyokuwa kwa Mandela wakati yuko gerezani.