Uchaguzi 2020 Amsterdam aomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania


Huyu jamaa angekaa mbali, mambo mengi yasingekuwa hivi yalivyo. Hakuna power inayoenda kwa stranger. Hata kwenye law firm yake mambo hayako hivyo.
 
Chadema imepata kura nyingi la CCM imewapora Ushindi kwa njia haramu za kishetani
Kura nyingi wamepataje wakati mashabiki wake wengi hawajapiga kura? Tusitafute visingizio jaribu kuulizia watu wako wa karibu mashabiki wa Lissu kama walipiga kura. Mimi nimeulizia watu kama hamsini mashabiki wa Lissu walioenda kupiga kura hawazidi watano.
 
Deni la Taifa limepanda mara Dufu chini ya utawala wa kaburu Mkoloni mweusi kuliko Tawala zote zilizopita, anakopa mno na kuomba misaada aliwahi kuomba msaada kwa Morocco Nchi ya kiafrika yenye shida nyingi lakini bila Aibu kawaomba wamjengee uwanja wa Soka Dodoma, CCM ni ile ile ukoo wa panya pato la ndani jingi hupigwa kifisadi pesa nyingi inapotelea kwa wajanja huko CCM kama ile trilion 1.5 kisha wakamtoa CAG kafara
 
I think kutegemea misaada ni kuhatarisha amani. Wangekuwa wametoa hela za uchaguzi ungesikia vikwazo sasa hivi TUKO HURU. VIVA MAGU.
 
Huyu jamaa angekaa mbali, mambo mengi yasingekuwa hivi yalivyo. Hakuna power inayoenda kwa stranger. Hata kwenye law firm yake mambo hayako hivyo.
CCM wakienda ulaya kuomba omba misaada hupiga magoti na kuwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga upumbavu unyanyasaji uonevu uovu mateso ya CCM kwa wapinzani ndipo CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike.
 
I think kutegemea misaada ni kuhatarisha amani. Wangekuwa wametoa hela za uchaguzi ungesikia vikwazo sasa hivi TUKO HURU. VIVA MAGU.
Vikwazo vinakuja na Polisiccm kwa dazani watafikishwa ICC The Hague haijalishi kama wametoa pesa ama laa
 
Chadema wamepata kura nyingi mno lakini wakurugenziccm NECCCM Tumeccm na Polisiccm vyombo binafsi vya CCM vimewapora ushindi kwa njia haramu za kishetani
 

Huyu jamaa akae kando. Hakuna anayemhitaji. Tanzania ni zaidi ya CCM na CDM. Wengine hatuko kwenye ligi zenu hizi
 
Tunaandamana kimya kimya na baada ya miezi mitatu mtaelewa nilikuwa namaanisha nini. Sisi hatupendi wala hatutaki kuwa chanzo cha umwagaji damu ya Watz kama mlivyo ccm. Tunatumia akili zaidi siyo mabavu.
 

Kwani hiyo Jumuia ya Madola si walikuwepo? Si waliona jinsi Lissu alivyogaragazwa? Mkumbuke kuwa Lissu alisema baada ya kupiga kura kuwa uchaguzi ulienda vizuri na aliridhika na jinsi ulivyokuwa umefanyika. Alidhani amepata kura japo za kuonyesha kuwa waTZ walikuwa na imani kidogo naye. Kuja kuona waTZ wanampuuza ile mbaya ndio anakuja na upuuzi huu ambao hauna hata nukta ya substance na anamshirikisha huyu anayemwita wakili wake. Hiyo Jumuia ya Madola itamchinjia porini kama waTZ walivyomchinjia baharini
 
Mkuu umesema ukweli kabisa CCM ni ile ile ukoo wa panya. Kubaki madarakani kwa wao ndi survival yao ya kuendelea kutafuna hivyo hufanya juhudi za hali, mali na hata kutoa uhai wa mtu ili kubaki kwenye madaraka. Sijui wanajisikia faraja ipi kubaki peke yao ndani ya bunge.
 
Sijui mpoje
 
CCM Hapa kazi wanayo!
Mnaombeza Amsterdam hamumjui, yule ni wakili wa kimataifa anajua vyombo vya kukamatia kupambana na serikali korofi!
 
He is even confused. Facial language hajui afurahie au alie.

Let him get lost na Amsterdam Wagombea walikuwa wengi why him????

Hapana, naomba zile kesi ziskiliZwe sasa na hukumu itolewe
 
Huyu jamaa akae kando. Hakuna anayemhitaji. Tanzania ni zaidi ya CCM na CDM. Wengine hatuko kwenye ligi zenu hizi
Wambie CCM waache vitendo haramu vya kishamba na kishetani endapo hutaki aje
 
Upuuzi unao wewe kwa kudhani watanzania ni wajinga kama wewe, hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka uchaguzi kwa njia haramu za kishetani
 
CCM Hapa kazi wanayo!
Mnaombeza Amsterdam hamumjui, yule ni wakili wa kimataifa anajua vyombo vya kukamatia kupambana na serikali korofi!
Watakamata mali za Tanzania watafunga A/C na kutaifisha pesa na mali ya viongozi wa CCM vilivyofichwa nje na wao kupewa vikwazo vya kusafiri kwenda huko na pia kufishwa ICC kwa mauji Zanzibar na unyanyasaji uonevu wa Polisiccm upande wa Tanganyika
 
Bunge la CCM watupu litakuwa bunge la ndiyooo ndiyooo linaenda kuwa bunge la ajabu Duniani latafanya vituko mpaka Ulimwengu ushangae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…