Uchaguzi 2020 Amsterdam aomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Uchaguzi 2020 Amsterdam aomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Magu alishasema nchi yetu haihitaji misaada ya masharti. Kama wanadhani watamtingisha Magu kwa kuvuliwa uanachama watafeli sana.

Upinzani wajipange upya. Suala la Sera zao, kejeli za Lissu, na kuchokwa kwa wabunge majimboni, kutokuwa na mawakala waaminifu limechangia kushindwa kwao
Stupid, wakala w vyama waliondolewa na wapiga kura
 
Nigeria iliwahi kuvuliwa uanachama kwa miska mitatu, ukivuliwa uwanachama hupati ile ruzuku ya maendeleo ya kila mwaka kutoka kwa nchi mama.
Sky Leo Maxence Melo alikuwa na hukumu, una taarifa.? Hapa Nina shida kubwa ya mitandao
 
Magu alishasema nchi yetu haihitaji misaada ya masharti. Kama wanadhani watamtingisha Magu kwa kuvuliwa uanachama watafeli sana.

Upinzani wajipange upya. Suala la Sera zao, kejeli za Lissu, na kuchokwa kwa wabunge majimboni, kutokuwa na mawakala waaminifu limechangia kushindwa kwao
Kwanini mlitaka kumtoa Zitto roho alipo lobby kuhusu pesa ya mfuko wa elimu?
 
Nigeria iliwahi kuvuliwa uanachama kwa miska mitatu, ukivuliwa uwanachama hupati ile ruzuku ya maendeleo ya kila mwaka kutoka kwa nchi mama.
Tanzania hatutegemei ruzuku za kijinga jinga wewee
 
Wakili wa aliyekuwa mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, Robert Amsterdam ameiandikia barua jumuiya ya madola na kuiambia kuwa kuna ubadhilifu mkubwa umefanyika katika uchaguzi wa Tanzania hivyo ameomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi huo.
Ana muonyesha bebi wake kuwa anajali lakini moyoni anamng'ong'a
 
Hahhahahahaaaaa sky kama nakuona ulivyonuna siku mbili hizi mtaongea yote sasa hivi hamna chenu mkajipange upya na Amsterdam wenu anaye twanga maji kwenye kinu hao anaowashitakia wala hawana impact na nchi yetu
Wajinga hawa tumewakomesha sheziiitypes
 
Back
Top Bottom