Just a person
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 984
- 1,232
Walikuwa na mahusiano na walisex before kuuliwa ndo maan mwili ulikutwa uchiNa unaweza kuta pia hawakuwa na mahusiano, Marehemu pengine alibakwa au ilishindikana kubakwa.
Kwa haraka haraka inaelekea kulikuwa na varangati kubwa la kujitetea kabla Marehemu kuuawa
Kama umeninukuu vizuri, natetea suala la Marehemu kukutwa Uchi.Walikuwa na mahusiano na walisex before kuuliwa ndo maan mwili ulikutwa uchi
Mtuhumiwa alisema mwenyew walikuwa na mahusiano mda mrefu na namba yake ya simu alikuw nayo wanachat na sio mara moja kuingia umo ndan sema tu alimuua baada ya kumuomb aibe na akakataa ye mwenyewe alisema alimkatalia asiibe ndo kilichopelekea kukatisha uhai wakeKama umeninukuu vizuri, natetea suala la Marehemu kukutwa Uchi.
Kukutwa Uchi haina maana walikuwa kwenye Mahusiano, hata kubakwa au kwenye jaribio la kutaka kubakwa linaweza kusababisha mwili kukutwa Uchi
Ujue hapa tunasikia stori ya upande mmoja, Marehemu ameshatangulia hatuwezi kuujua ukweli kwa kina.Mtuhumiwa alisema mwenyew walikuwa na mahusiano mda mrefu na namba yake ya simu alikuw nayo wanachat na sio mara moja kuingia umo ndan sema tu alimuua baada ya kumuomb aibe na akakataa ye mwenyewe alisema alimkatalia asiibe ndo kilichopelekea kukatisha uhai wake
Mwizi alikuwa na insider information.... inawezekana vipi ajue hiyo nyumba ina hela?
Hiyo kweli kuna mmoja sijui nikina nani waliingia, mpenzi wake hakuwepo, aliiona funguo anapoweka alifanya kumwaga vitu nguo zile nikama karume hata sijui aliiba nini!Ushawahi kuibiwa wakati hamna mtu ndani ya nyumba? Ukiingia chumbani utakuta nguo zote chini,godoro limefunuliwa hadi foronya,masanduku yote wametoa kila kitu yote hio wanatafuta hela(hawajui umeacha hela ndani au la wanabahatisha).
Ndiyo akili yake iliishia hapo, pia damu ya mtu si mbuzi? Damu ya mtuKaiba pesa ili akanunue viatu vya mpira na begi la mgongoni biowang......
Na wanawapania kweliiBoda na housegirl huwezi watenganisha
🤣🤣Madada wa kazi wanashida sana ukimpata aliyetulia shukuru Mungu sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi machozi, sasa jamaa analala kwa kochi km kwake?? Tena tumbo wazi??
Khaaaaah
Sasa angemziba mdomo na nguo, angemfunga kamba miguu na mikono, ili asipige kelele na angemfungia kwa ndani, yeye angeiba hela na kutoka.
Kuna ukazima gani kuua binti ili kuiba, mbona angeweza kumfunga kamba tu na kuiba kisha akasepa
Watu wagumu kuelewa kweli kweli. Unaambiwa mtuhumiwa mwenyewe amekiri kwamba walikuwa wapenzi wa muda mrefu. Simu yake imeonesha meseji. Bado unakaza shingo? Au wewe ni kaka wa jambazi huyo?Ujue hapa tunasikia stori ya upande mmoja, Marehemu ameshatangulia hatuwezi kuujua ukweli kwa kina.
Ujue linapotokea tukio kama hili, mara nyingi tunasikia taarifa tofauti tofauti, kila mmoja anasema lake.
Mbali na hayo, ahsante kwa ku share nasi uliyoyasikia wewe
Rejea tena juu kwenye bandiko na ulisome lote kuanzia mwanzo mpaka mwisho, hakuna sehemu yoyote inayosema Mtuhumiwa alikuwa na mahusiano na Marehemu.Watu wagumu kuelewa kweli kweli. Unaambiwa mtuhumiwa mwenyewe amekiri kwamba walikuwa wapenzi wa muda mrefu. Simu yake imeonesha meseji. Bado unakaza shingo? Au wewe ni kaka wa jambazi huyo?
Hata Mimi ni lijitu, nipime, nipe mkeo na Hela nivifikishe sehemu, simfikishi mkeo Wala pesa yakoNadhani wewe hauishi Tanzania. Hivyo wewe si jitu. 🤣🤣