Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Ni temboni sehem gan?Yeah mtu kafa since jumatano afu alichomwa kisu inasikitisha sana ata wazaz wake inabidi waje dar maan mwili hautamaniki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni temboni sehem gan?Yeah mtu kafa since jumatano afu alichomwa kisu inasikitisha sana ata wazaz wake inabidi waje dar maan mwili hautamaniki
Upande wa Kituo cha polisi kanisa la mt ambrose tagaste.Ni temboni sehem gan?
Oooohw .Ninapokaa ni nyumba ya 7 kutoka kwetu dada wa kazi alikuwa na mahusiano apo mwili wake ulikutwa uchi mtuhumiwa alisema kuwa walipomlz tendo alimuomb aibe dada akakataa akaamua amue
AiseeeNyumba mnakaa wawili tu mama mwenye nyumba anaondok sa 11 anarud sa4usiku nan angetuhumiw kuiba kama sio yeye apo tu hyo mama alijua dada wa kaz katoroka alijua na yeye alipew hela maan tokea hyo tar 6 hyo mtuhumiwa kukamatwa akusema kama ameua maan jirani alimuona kaingia so alipouliza walimuambia walimuona flan kaingia mpaka harufu iposikika ndan jumapili ndo akapigwa kipigo aeleze mkasa mzima.
Inaitwa Scientific Investigation...ni source kuu ys ushahidi mahakamani[emoji1787][emoji23][emoji28]
Niacheni nicheke mie
Umenikumbusha mwaka flan nyuma nilimtembelea Dada yangu na yeye hapo kwake alikuwa anaishi na mfanyakazi tu Mumewe alikuwa kasafiri nje ya nchi, na mimi nilienda kwa kustukiza tu wala sikufanya appointment. Nilicho kikuta Geti kubwa lilikuwa wazi kwa maana lilirudishiwa tu wala halikufungwa na komeo au funguo geti la kuingia ndani lilikuwa wazi na mda huo yalikuwa majira ya saa 6 mchana nilipoingia mpka seblen nikamkuta jamaa kajilaza kwenye makochi yupo tumbo wazi 😀😀 sasa ktk kutafakari huyu ni nani nikawa natamfuta yule dada wa kazi kumwita anaitikia akiwa jikoni kusogea mpaka jikoni alipo namkuta anakaanga mayai sasa mwenyewe akaanza kujistukia kwa aibu na hofu mara ashike kikombe aache mara ajiongeleshe vp umegonga sana mlango🤣🤣 narudi tena sebleni yule jamaa sijamkuta alishakimbia. Kumbe yule jamaa alikuwa ni bodaboda na alikuwa mpenzi wake na ilikuwa ni kawaida kwao Sister akiondoka kwenda kazin yule jamaa uingia pale nyumbani kama kwake na ata yale mayai alikuwa anamkaangia jamaa😀😀. Wafanyakazi wa ndani ni wa kuishi nao kwa makini jamani wengi wao vitendo wanavyofanya majumbani wakiwa peke yao ni vya hatari ambavyo vinaweza kuleta madhara makubwa. Wezi majambazi sometimes upata michoro ya nyumba na kujua kilichomo ndani kupitia wafanyakazi wa ndani.Asee wadada wa kazi wamekuwa victim sana wa ukatili majumbani. Sema na wao huwa hawana umakini na wakieleweshwa huwa hawasikii.
Unamwambia dada ukiwa ndani funga geti na mlango wa kuingilia ndani kwa funguo ila walaaaa hajali Unafika home unapita getini hadi unaingia ndani hadi room kwake wala hana habari anafanya kustuka.
Au huko mtaani ana kiboda boda chake au mhuni flani ukiwa haupo basi analetwa hadi home mazingira yanasomwa...mwisho wa siku matukio ya wizi au mauaji... Kwa hali hii jamani kweli watakuwa salama..?
Za main au kuhanga ?Hii walifanyaga hostel kwangu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nililiaga sana khaaa
wezi wanarudisha maendeleo nyuma jamani [emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Wanabana mapumbu tu hawana loloteInaitwa Scientific Investigation...ni source kuu ys ushahidi mahakamani
Daah [emoji16] nimemkumbuka sabra alikuwa ananiletea chakula ghetto kwenye hotpotUmenikumbusha mwaka flan nyuma nilimtembelea Dada yangu na yeye hapo kwake alikuwa anaishi na mfanyakazi tu Mumewe alikuwa kasafiri nje ya nchi, na mimi nilienda kwa kustukiza tu wala sikufanya appointment. Nilicho kikuta Geti kubwa lilikuwa wazi kwa maana lilirudishiwa tu wala halikufungwa na komeo au funguo geti la kuingia ndani lilikuwa wazi na mda huo yalikuwa majira ya saa 6 mchana nilipoingia mpka seblen nikamkuta jamaa kajilaza kwenye makochi yupo tumbo wazi [emoji3][emoji3] sasa ktk kutafakari huyu ni nani nikawa natamfuta yule dada wa kazi kumwita anaitikia akiwa jikoni kusogea mpaka jikoni alipo namkuta anakaanga mayai sasa mwenyewe akaanza kujistukia kwa aibu na hofu mara ashike kikombe aache mara ajiongeleshe vp umegonga sana mlango[emoji1787][emoji1787] narudi tena sebleni yule jamaa sijamkuta alishakimbia. Kumbe yule jamaa alikuwa ni bodaboda na alikuwa mpenzi wake na ilikuwa ni kawaida kwao Sister akiondoka kwenda kazin yule jamaa uingia pale nyumbani kama kwake na ata yale mayai alikuwa anamkaangia jamaa[emoji3][emoji3]. Wafanyakazi wa ndani ni wa kuishi nao kwa makini jamani wengi wao vitendo wanavyofanya majumbani wakiwa peke yao ni vya hatari ambavyo vinaweza kuleta madhara makubwa. Wezi majambazi sometimes upata michoro ya nyumba na kujua kilichomo ndani kupitia wafanyakazi wa ndani.
Kila ukiuliza mbona mayai yanaisha haraka unaambiwa hata sijui kumbe boda nae ana share yake hapo.Umenikumbusha mwaka flan nyuma nilimtembelea Dada yangu na yeye hapo kwake alikuwa anaishi na mfanyakazi tu Mumewe alikuwa kasafiri nje ya nchi, na mimi nilienda kwa kustukiza tu wala sikufanya appointment. Nilicho kikuta Geti kubwa lilikuwa wazi kwa maana lilirudishiwa tu wala halikufungwa na komeo au funguo geti la kuingia ndani lilikuwa wazi na mda huo yalikuwa majira ya saa 6 mchana nilipoingia mpka seblen nikamkuta jamaa kajilaza kwenye makochi yupo tumbo wazi 😀😀 sasa ktk kutafakari huyu ni nani nikawa natamfuta yule dada wa kazi kumwita anaitikia akiwa jikoni kusogea mpaka jikoni alipo namkuta anakaanga mayai sasa mwenyewe akaanza kujistukia kwa aibu na hofu mara ashike kikombe aache mara ajiongeleshe vp umegonga sana mlango🤣🤣 narudi tena sebleni yule jamaa sijamkuta alishakimbia. Kumbe yule jamaa alikuwa ni bodaboda na alikuwa mpenzi wake na ilikuwa ni kawaida kwao Sister akiondoka kwenda kazin yule jamaa uingia pale nyumbani kama kwake na ata yale mayai alikuwa anamkaangia jamaa😀😀. Wafanyakazi wa ndani ni wa kuishi nao kwa makini jamani wengi wao vitendo wanavyofanya majumbani wakiwa peke yao ni vya hatari ambavyo vinaweza kuleta madhara makubwa. Wezi majambazi sometimes upata michoro ya nyumba na kujua kilichomo ndani kupitia wafanyakazi wa ndani.
mainZa main au kuhanga ?
Daah pole sana aliibaje ..alivunja mlango au ?main
Gaza kule
😅😅😅 aah huyu nilokua nakaa nae alipoteza keys so keys tukawa tunaacha chini ya mlangoDaah pole sana aliibaje ..alivunja mlango au ?
Huyo itakuwa mwanafunzi mwenzenu
Hata mimi nawaza kwanini amuue kama hamfahamu?Inawezekana walikuwa wanafahamiana na ndio aliyetoa habari za kuwapo pesa chumbani. Nawaza tuu! Anyway apumzike kwa amani dada.Nahisi alikuwa na mahusiano na huyo marehemu
Kwa akili yako kila kicheko humu kinamhusu marehemu au umedakia bila kujua kicheko kinahusu niniWatu humu tunaomboleza kuondokewa kikatili kwa beki tatu wewe unaomba uachwe ucheke.
Haya tumekuwacha, Cheka sasa!
Kaamoonn!
View attachment 2288229
wa kupuliza Mr Q
Hakika kabisaa ni hatareee. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Asee wadada wa kazi wamekuwa victim sana wa ukatili majumbani. Sema na wao huwa hawana umakini na wakieleweshwa huwa hawasikii.
Unamwambia dada ukiwa ndani funga geti na mlango wa kuingilia ndani kwa funguo ila walaaaa hajali Unafika home unapita getini hadi unaingia ndani hadi room kwake wala hana habari anafanya kustuka.
Au huko mtaani ana kiboda boda chake au mhuni flani ukiwa haupo basi analetwa hadi home mazingira yanasomwa...mwisho wa siku matukio ya wizi au mauaji... Kwa hali hii jamani kweli watakuwa salama..?