Amuua mwanawe wa kiume kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Unanifurahisha sana,
Na kila siku tunawaambia Ushoga haujaanza Nchi za Magharibi, ila wabishi sana
 
Kama ushoga ulikuwepo Afrika,
Tuambie Kwa kilugha chenu/kikabila ushoga unaitwaje?
Kwa hiyo unabisha kua hakukua na Ushoga kabla hawajafika hao Wakoloni??

Na kwanini Dini zao mmezikubali lakini Ushoga mnaupinga???
 
Mimi ni mswahili niliyejifunza na kuelimika katika Kingereza na Kifaransa. Ni hizo lugha tatu tu ndio nazijua.

Halafu ni ujinga sana kufikiri kabila ndilo linakufanya kuifahamu historia, Mimi sio mchina wala ila najua wachina waligundua gunpowder karne ya 9AD.
Kabila lako ni lipi?
Ili tujue ushoga ulikuwepo Afrika kabla ya wageni kuja Afrika.
 

Umejibu vizuri Sana.
Ndio maana upo hivyo Kwa sababu kwenu wewe ndio mungu mtu kutokana na kielimu chako na Mshahara usiozidi milioni moja ambao kutokana na umasikini WA familia yenu unakuona wewe Kama mungumtu.

Ni Bora masikini anayejitambua kuliko Tajiri na msomi ambaye anazidiwa akili mpaka na wanyama.

Huwezi kuwa shoga alafu ukasema unaafya nzuri. Afya ya Akili haiko Sawa.

Masikini akipata matako hulia mbwata.
Asiyejua kupata kapata,
Kipofu kaona mwezi
Ndio watu Kama ninyi.

Hapo ukakute ni kadada kembamba alafu keusiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ alafu kawe na akili Kama zako. Huwaga mnavioja sana
 
Nimejaribu kuvaa viatu vya huyo mzee mwenzangu nimejikuta havinitoshi.......Mimi namuhesabu kama shujaa.......

Yaani huyo Dogo anadharau Sana.
Yaani uki-imagine unajikuta unajihisi aibu na kudhalilishwa ingawaje ni tukio lililomtokea mtu mwingine
 

Kwa hiyo wewe hujui ni kabila gani?
 
Kwa hiyo unabisha kua hakukua na Ushoga kabla hawajafika hao Wakoloni??

Na kwanini Dini zao mmezikubali lakini Ushoga mnaupinga???

Kwenye Dini ushoga hauruhusiwi, hiyo ndio sababu.
Tunaongozwa na maandiko na miiko.

Wewe utakubali nimekuwa mumeo nikugonge wewe na watoto wako?
 
Kwa hiyo unabisha kua hakukua na Ushoga kabla hawajafika hao Wakoloni??

Na kwanini Dini zao mmezikubali lakini Ushoga mnaupinga???

Sio nabisha, ndio uhalisia.
Haikuwa na ushoga
Kama wewe unabisha niambie Kwa kikabila chenu ushoga unaitwaje?
 
Kwenye Dini ushoga hauruhusiwi, hiyo ndio sababu.
Tunaongozwa na maandiko na miiko.

Wewe utakubali nimekuwa mumeo nikugonge wewe na watoto wako?
Waliowaletea hizo Dini ndio walioukubali Ushoga na wana Sherehe zao kila mwaka, shughuli za Nchi zinasimama kusheherekea uwepo wa Mashoga, lakini pia wanafungishwa hadi Ndoa,

Sasa wewe Ngumbaru ambaye hata Maji tu kupata tabu usikute hapo una siku tatu hujaoga lakini unatunukisha kwapa lako hapa kwa kubishana juu ya Ushoga
 
Wengi wanaopinga ushoga hapa ni halali na haina ukakasi kwao kuoa mtoto wa miaka14.
Pia wanapinga kwa nguvu zote sheria itakayopiga marafuku mtoto wa miaka 14 kuolewa.
Unawaambiaje?
Waviache vitoto vikuekue vikifika hapo kwenye 17/18 angalau vianze kutembezewa moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…