Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kiswahili
Kabila lako ni lipi?
Ili tujue ushoga ulikuwepo Afrika kabla ya wageni kuja Afrika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiswahili
Unanifurahisha sana,Nani alikuambia ushoga ni utamaduni wa jamii fulani pekee? Unarudia rudia sana huu utopolo na ujinga wako bila ushahidi wowote wa Historia.
Ushoga umekuwepo kwa Waarabu, Wazungu, Wahindi, Wachina, Waafrika weusi na jamii nyingine zote hata kabla hizo jamii hazijakutana au kuchanganyika. Walichofanya wazungu wengi ni kukubaliana nao tu
Wazungu walipopeleka dini yao Uganda walimkuta Kabaka Mwanga II akihisiwa ni shoga na hata inasemekana ndio sababu mojawapo ya kuwawua wamishenari wao 45 waliokuwa kinyume naye
Jifunze pia "Mudoko dako" ambayo ilikuwepo Uganda hata kabla ya wazungu kufika.
Kwa hiyo unabisha kua hakukua na Ushoga kabla hawajafika hao Wakoloni??Kama ushoga ulikuwepo Afrika,
Tuambie Kwa kilugha chenu/kikabila ushoga unaitwaje?
Nimeshangaa sana hoja yake,Kumbe swala sio kukemea ushoga, swala ni hisia binafsi za unachokipenda?
Ukiupenda usagaji basi usagaji ni ruksa.
Ukiuchukia usagaji basi usagaji ni kosa la jinai.
?
Kabila lako ni lipi?
Ili tujue ushoga ulikuwepo Afrika kabla ya wageni kuja Afrika.
Wazazi wangu wamefunguka akili hawana akili za kijinga,
As long as napumua vizuri, nina Afya njema, nachapakazi kiufupi najitegemea siwaombi bali wao ndio nawapiga tafu ikitokea basi kwao ni Faraja kubwa sanaaaaaaa,
Kuzaa au kutokuza sio kipaumbele chao,
Sababu wapo Wagumba na Matasa lakini wapo wasiohitaji watoto kwa sababu zao binafsi,
Maskini peke yake ndio yupo radhi awe na watoto 20 wale Ugali na Chumvi lishe duni ila tu aonekane amezaa na jamii isiyojitambua impe Moyo kua "kila Mtoto huja na Rizki yake"
Nimejaribu kuvaa viatu vya huyo mzee mwenzangu nimejikuta havinitoshi.......Mimi namuhesabu kama shujaa.......
Wanawake kusagana haina ukakasi kama kidume kufukuliwa mtaro na kidume mwenzake
Mimi ni mswahili niliyejifunza na kuelimika katika Kingereza na Kifaransa. Ni hizo lugha tatu tu ndio nazijua.
Halafu ni ujinga sana kufikiri kabila ndilo linakufanya kuifahamu historia, Mimi sio mchina wala ila najua wachina waligundua gunpowder karne ya 9AD.
Kwa hiyo wewe hujui ni kabila gani?
Miaka 14 bado mdogo kwangu ina ukakasiMtoto wa kike wa miaka 14 kuolewa kwako ina ukakasi wowote??
Kwa hiyo unabisha kua hakukua na Ushoga kabla hawajafika hao Wakoloni??
Na kwanini Dini zao mmezikubali lakini Ushoga mnaupinga???
Sifanyi matambiko.
Miaka 14 bado mdogo kwangu ina ukakasi
Kwa hiyo unabisha kua hakukua na Ushoga kabla hawajafika hao Wakoloni??
Na kwanini Dini zao mmezikubali lakini Ushoga mnaupinga???
Waliowaletea hizo Dini ndio walioukubali Ushoga na wana Sherehe zao kila mwaka, shughuli za Nchi zinasimama kusheherekea uwepo wa Mashoga, lakini pia wanafungishwa hadi Ndoa,Kwenye Dini ushoga hauruhusiwi, hiyo ndio sababu.
Tunaongozwa na maandiko na miiko.
Wewe utakubali nimekuwa mumeo nikugonge wewe na watoto wako?
Laana ni kutoka nje ya huruma/rehema ya/za Mola muumba.Laana ni nini?
Waviache vitoto vikuekue vikifika hapo kwenye 17/18 angalau vianze kutembezewa motoWengi wanaopinga ushoga hapa ni halali na haina ukakasi kwao kuoa mtoto wa miaka14.
Pia wanapinga kwa nguvu zote sheria itakayopiga marafuku mtoto wa miaka 14 kuolewa.
Unawaambiaje?