Me bado siamini kama wapo wa hivyoAnatafuta sababu tu yakutokomea tu , naenda hapo maramoja ,hiyo maramoja nisaa 4 usiku [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ha ha ha ha anaweza toka na kitenge [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Me bado siamini kama wapo wa hivyo
Kuna mahali nimekusoma, unajua namna ya kumteka asiondoke. Ina maana kwa huyo mbinu za kumfanya asitoke zimeshindikana?
Hata za kuloweka nguo zote weekend?[emoji125][emoji125][emoji125]
Hahaha..........hawezi, jaribu weekend ijayo. Hakikisha unafua mapema kabla hajaamka.Ha ha ha ha anaweza toka na kitenge [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pita kulealijua labda pengine ndiyo ameifikia G-spot hivyo aliongeza kumkunja ndipo aliposikia kitu kimelia kooooo.
Hii tuite ni chai KODO[emoji1787]Ya moto sana [emoji3062]View attachment 2458522
mzabzabMapenzi bwana.
Juma kisauti a.k.a mnyamwezi wa Mgeta Roro mkoani Morogoro amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kusababishia ulemavu wa kudumu kwa mpenzi wake walipokuwa wakinyanduana.
Katika harakati ya kuitafuta G-SPOT juma kisauti alimkunja kisawasawa msichana huyo kiasi kilichopelekea binti huyo kushindwa kupumua vizuri na kupelekea mshituko kwenye uti wa mgongo ambao mwisho wa siku binti huyo akapata stroke pale pale.
Juma alisema yeye dhamira yake ilikuwa kuifikia G-SPOT ya mpenzi wake huyo na hakujua kama kumkunja vile mpenzi wake kungepelekea kushtua pingiri za uti wa mgongo.
Juma kisauti amesema kwamba alipokuwa anasikia mpenzi wake analia kwa sauti ya uchungu huku akitetemeka mwili mzima, yeye alijua labda pengine ndiyo ameifikia G-spot hivyo aliongeza kumkunja ndipo aliposikia kitu kimelia kooooo.
Daaah balaa tupu.
Mchai wa motoooooYa moto sanaView attachment 2458500