An extreme coincedence? Kuanguka kwa Mbowe na kupotea kwa Johnthebaptist!

JF ilipopewa BAN ya siku 90 na yeye akazimika mazima.
 
Huyu alipewa majukumu ya "ushauri" ndani ya serikali ya Samia na Genge. Tokea wakati huo kaamua asiingie tena JF.
With all people...😂🙌🏿🙌🏿🏃🏿
 
Hapana.
Wote hao uliowataja ni tofauti kabisa na staili ya 'thebaptist'
Mtu kama Tlaatlaah utaanzia wapi kumlinganisha naye; vitu viwili tofauti kabisa!
 
Hapana.
Wote hao uliowataja ni tofauti kabisa na staili ya 'thebaptist'
Mtu kama Tlaatlaah utaanzia wapi kumlinganisha naye; vitu viwili tofauti kabisa!
Tlah ni NA'NNA..!
 
Hicho ni kizee fulani Lumumba hapo, mbona kuna member humu wanakifahamu .
Hao ndio wangetusaidia kumaliza huu mjadala.
Binafsi naamini kuna jambo kubwa sana lilimtokea lililozuia kabisa asionekane tena JF.
Hawa wanaomjuwa wangesaidia kudokeza hali yake ilivyo sasa.
 
Hao ndio wangetusaidia kumaliza huu mjadala.
Binafsi naamini kuna jambo kubwa sana lilimtokea lililozuia kabisa asionekane tena JF.
Hawa wanaomjuwa wangesaidia kudokeza hali yake ilivyo sasa.


Huyo mzee alionekana kwenye ile video moja ya Bashite alipoenda Lumumba kipindi kile kapewa ukatibu wa itikadi na uenezi alikua kwenye msafara member waliomtambua walimtaja na yeye alikiri huyo labda kaamua apumzike au alipata dhoruba la October 29.
 
I can say for sure, DOUBLE SURE, johnthebaptist alikuwa yule wa BACU


Huyo wa Cuba hakuwa mlutheri, hicho kizee ni mlutheri.

Huyo wa Cuba hakuwa mhehe huyo mzee ni mhehe.

Huyo wa cuba maandishi yake yanaeleweka na alikua na uwezo wa kuchambua mambo huyo mzee alikua na vijistori tu kuchambua mambo hakuwa na uwezo mkubwa.

Mwisho ni mwandiko baina ya hao wawili inatoa hitimisho uliyemtaja sio huyo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…