Dr. Mwigulu Nchemba
Minister
- Feb 25, 2012
- 419
- 2,169
Kuna mtu ametupia UZI KUWA SIKU HIZI SIVAI SKAFU, HUU NI MKUTANO MKUU WA JUZI TAR 19/2/2020 WAKATI WA ZIARA YA MZEE MANGULA. SKAFU NILIKUWA NAVAA HATA KABLA YA KWENDA ILBORU SEKONDARI HAIKUWA SARE YA UWAZIRI
Inawezekana hajui kua kuandika kwa herufi kubwa ni sawa na kuongea kwa kupayuka.Kwa nini unaandika kwa kutumia herufi kubwa namna hiyo? Huna netiquette?
NAONESHA MSISITIZO 😄😄😄😄😄😄Kwa nini unaandika kwa kutumia herufi kubwa namna hiyo? Huna netiquette?
Hilo ni Jambo AMBALO hulielewi KABISA, nitafute nikuelimishe.Umetuangusha sana mheshimiwa, ukiwa waziri wa mambo ya ndani kuna mambo ya ajabu sana yalikua yanaendelea hapa nchini, natumaini kuna siku watu wote waliouawa wataipata haki yao.
NAONESHA MSISITIZO 😄😄😄😄😄😄
Ahaha!....Hiv Mkuu Ufalme unaeza jifitini wenyewe?Mwenzako Kangi yeye anaenda kuozea jel
Wewe kwisha habari yako, ulinyanyasa na kuwatesa sana watu, ulijivua ubinadamu, ukajivisha ukatili, ukasahau kuwa cheo ni dhamana. Leo upo kama mbwa koko. Unaishi kwa hofu ya kupoteza ubunge. Pole sana. Ndio ujifunze. Wakati mwingine usiwe limbukeni wa cheo. Waambie na wenzako.
Umetuangusha sana mheshimiwa, ukiwa waziri wa mambo ya ndani kuna mambo ya ajabu sana yalikua yanaendelea hapa nchini, natumaini kuna siku watu wote waliouawa wataipata haki yao.
Mzee Kama umepanick hiviNAONESHA MSISITIZO [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
URAIS SIO NDOTO ZA MTU BALI NI HITAJI LA WAKATI NA HITAJI LA WATU . HIVYO HII SIO AGENDA KWA SASA. NIULIZE KUHUSU IRAMBATuambie ulichowafanyia watu wa Iramba kwenye nafasi yako ya Ubunge, hayo mambo ya skafu hata hayawasaidii watu wa Jimboni kwako.
Swali la kizushi ; Hivi bado una Zile NDOTO zako za kuwania Urais?[emoji23]