Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

Weka ukweli hadharani, najua mengine hukuyafanya kwa matakwa yako bali kwa shinikizo au kuwapendeza wakubwa zako, lakini yamechafua taswira yako na yatakutesa sana kwani watu wanakumbukumbu ipo siku yataathiri ndoto zaki mbeleni
Hilo ni Jambo AMBALO hulielewi KABISA, nitafute nikuelimishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mkuu swali langu umelikimbia nauliza tena vipi unaunga mkono tuwe na tume huru ya uchaguzi ili meko akishinda ashinde kwa haki?
Kuna mtu ametupia UZI KUWA SIKU HIZI SIVAI SKAFU, HUU NI MKUTANO MKUU WA JUZI TAR 19/2/2020 WAKATI WA ZIARA YA MZEE MANGULA. SKAFU NILIKUWA NAVAA HATA KABLA YA KWENDA ILBORU SEKONDARI HAIKUWA SARE YA UWAZIRI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupenda Utanzania ni kuwapenda watu wake na mazingira lakini wewe hujaonyesha hata kidogo kuwapenda Watanzania bali cheo, heshima na pesa
Ukipenda kitu sio lazima imsaidie mtu, kwani unapovaa jezi ya Chelsea au Man u huwa inatusaidia Nini hata UINGEREZA HUJAFIKA. MIMI NAJIVUNIA UTANZANIA WANGU, HIYO BENDERA YA TAIFA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lete vya DARASANI TUJADILI VILIVYO BETTER, sio kila WAKATI ukae na PhD rafiki yangu. Mimi sio wa hivyo
Mh Rais JPM aliwahi kukuambia ukafute maandishi uliyoyaandika au kuwatuma vijana wako wakachore kwenye mawe hasa yaliyo kando mwa barabara karibia nchi nzima yaliyoandikwa kwamba wewe ndio Rais 2015[emoji23], Je umefanya hivyo? na kama hujafanya hivyo ni dharau umeamua kuonesha kwa Mwenyekiti wa chama na Rais wako?
 
Unatumia redio mbao wewe, USIMLISHE MANENO RAIS WANGU. Mhe RAIS wangu anashughulika na mambo MAKUBWA hajawahi KUSEMA hivyo Wala kuniambia binafsi. Hayo ni maneno ya kubuni ya watu kama wewe hivi
 
Back
Top Bottom