the truecaller
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 809
- 940
Hii ndiyo Dira, asipoizingatia basi atakuwa mburulaWewe kwisha habari yako, ulinyanyasa na kuwatesa sana watu, ulijivua ubinadamu, ukajivisha ukatili, ukasahau kuwa cheo ni dhamana. Leo upo Unaishi kwa hofu ya kupoteza ubunge. Pole sana. Ndio ujifunze. Wakati mwingine usiwe limbukeni wa cheo. Waambie na wenzako.
Umesema watu wakuulize maswali na utawajibu.Nitafute nikufafanulie maana inaonekana HUJUI KABISA
Mh Rais JPM aliwahi kukuambia ukafute maandishi uliyoyaandika au kuwatuma vijana wako wakachore kwenye mawe hasa yaliyo kando mwa barabara karibia nchi nzima yaliyoandikwa kwamba wewe ndio Rais 2015[emoji23], Je umefanya hivyo? na kama hujafanya hivyo ni dharau umeamua kuonesha kwa Mwenyekiti wa chama na Rais wako?
Hata shetani ana wafuasiMheshimiwa!
Kwanza nakusalimia na pili nakupongeza kwa ushujaa wako wa kukubali mdahalo na wehu wa humu JF,
Wengi wao humu bila kuuma maneno ni waliopagawa na kuchanganyikiwa hasa baada ya awamu ya tano kuziba mirija yote ya ujanja ujanja.
Na sasa wameigeuza JF kuwa platform ya wamwaga sumu.
Usidhani JF hii ndio ile tulioianza miaka ile ikijaa mijadala yenye afya na hoja zenye mashiko la hasha.
Hii JF ya sasa imegeuka kuwa platform ya wapingaji wa kila kitu,na imeporomoka kwa kasi sana.
Naomba uwe mvumilivu.
Karibu sana tuko[emoji1241][emoji818]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe ushahidi wa hayo usimsingizie mtu kwa sababu ya kumpaka matope kisa watu wengi watasomaWewe kwisha habari yako, ulinyanyasa na kuwatesa sana watu, ulijivua ubinadamu, ukajivisha ukatili, ukasahau kuwa cheo ni dhamana. Leo upo Unaishi kwa hofu ya kupoteza ubunge. Pole sana. Ndio ujifunze. Wakati mwingine usiwe limbukeni wa cheo. Waambie na wenzako.
Sasa skafu ndio ya kuanzishia mjadala?
Chipukizi ndio huvaa skafu za chama.
Swala la wewe na skafu ni dogo sana, ukupaswa kulitolea ufafanuzi hapa......Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri.
View attachment 1365715
Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
Una cheo gani Singida United ?Ukipenda kitu sio lazima imsaidie mtu, kwani unapovaa jezi ya Chelsea au Man u huwa inatusaidia Nini hata UINGEREZA HUJAFIKA. MIMI NAJIVUNIA UTANZANIA WANGU, HIYO BENDERA YA TAIFA
Nani aliku inspire kuingia kwenye siasa ? Ni changamoto gani ambazo wananchi Jimbo lako wanazo ambazo haujazitatua ?Bavarian8
Hatujawahi kukataa uwepo wa tume huru ya uchaguzi. Hata kwenye katiba mpya ilikuwa agenda. Wenezetu walikataa. Agenda ya tume huru ni pana
Mh.Mwigulu,wakati unasoma Ilboru kulikuwa hizi skafu?Ilikuwa part of school uniforms?Ukipenda kitu sio lazima imsaidie mtu, kwani unapovaa jezi ya Chelsea au Man u huwa inatusaidia Nini hata UINGEREZA HUJAFIKA. MIMI NAJIVUNIA UTANZANIA WANGU, HIYO BENDERA YA TAIFA