Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,538
Kuelekea uchaguzi watu huwa wapole sana na wengine hupiga mpaka magotiLete vya DARASANI TUJADILI VILIVYO BETTER, sio kila WAKATI ukae na PhD rafiki yangu. Mimi sio wa hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuelekea uchaguzi watu huwa wapole sana na wengine hupiga mpaka magotiLete vya DARASANI TUJADILI VILIVYO BETTER, sio kila WAKATI ukae na PhD rafiki yangu. Mimi sio wa hivyo
Vipi Mh ulishawahi kujipima wewe mwenyewe uzalendo wako vs tafsiri sahihi ya uzalendo??
Umesema utajibu maswali hapa hapa, hebu muelimishe hapa hapa, au na wewe unawaogopa "wasiojulikana"?Hilo ni Jambo AMBALO hulielewi KABISA, nitafute nikuelimishe.
Unacheza na wanasiasa? na hapo kaandika "Ana kwa ana Mwigulu….." ndio ujue alicholenga, huwa wanagalagala hawa na kuamkia hata wanaowazidi inapokaribia kipindi cha uchaguziKwa kifupi nimependa jinsi unavyojibu maswali kwa lugha nzuri bila kupanic. Maswali mengi ni ya kejeli na kutia hasira, lakini umeweza kumudu. Hongera sana.
Natamani siku Mzee wa nje ya box nae ajitokeze humu, hakika patawaka. Maana Kigwa bana hanaga swalia mtume, jinsi unavyokuja ndio jinsi anavyo kutawanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok poleni sanaKAWAIDA TU
Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri.
View attachment 1365715
Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
Hilo ni Jambo AMBALO hulielewi KABISA, nitafute nikuelimishe.
Hilo ni TATIZO la UELEWA BINAFSI MAANA IRAMBA WANANIELEWA SANA
View attachment 1365807
Wewe si ulishiriki kumuundia kesi ya kujiteka hatimaye Mahakama ikawaumbua. Wewe ni mtaalamu wa kutengenzea watu kesi hatujasahau ile movie yenu fake na Ludovick mliyotaka kumuangamiza Lwakatare. Naamini bado ushahidi wako bado unaushikilia hadi kiama kwani hapa duniani ulikataliwa. Mungu anakuona.Ndio maana nawambia tafuteni TAARIFA kabla ya kuandika. Mtafute Nondo umuulize nimemfanyia kitu kibaya au kitu chema. Nondo SI NI MEMBER HAPA, NA AJE ASEME NIMEMFANYIA KITU CHEMA AU KIBAYA
Ukiwa kama msomi wa PHD na waziri uliehudumu kwa vipindi kadhaa, unaonaje sasa ukienda kujiajiri ukitumia hiyo PHD yako na elimu yako ya uchumi ili uwe mfano kwa hawa vijana tunaowaambia kila siku wajiajiri??
Nimeshajibu, NI sensitive matter , Kuna vitu humo kwa Sasa Mimi sio MSEMAJI wake
Jibu la kisiasa zaidiYes, HILI NI TATIZO, HII NI HOJA YA MSINGI.
Tar 20 tulikuwa na mjadala mpana SINGIDA, TATIZO HILI LINAWEZA KUPUNGUA KWA KUWEKEZA KWENYE MODERNIZATION OF PRODUCTION PRICESS MIKOANI KWETU, ILI SHUGHULI ZA UZALISHAJI ZITOE FAIDA ZINAZOLIPA HIVYO ZITENGENEZE AJIRA. HIVYO TULIKUWA NA RCC. TULICHAKATA SANA.
BUT AJIRA NI TATIZO NA NI MAADA PANA SANA, HAINA JIBU MOJA
Mheshiwa ww, january makomba,na Nape...mlikuwa wanasiasa vijana na wasomi mlikuwa tumaini la kizazi kipya mkijua kabisa ustaraabu wa vyama vingi na katiba inaruhusu lakini NINYI MKAGEUKA MAFIA, KUUA ,KUTEKA, KUKEMEA KUKOMOA wenzenu wa upande wa upinzani..MUNGU ameanza kuwalipa sawasawa na ubaya wenu katika siasa na bado MUNGU atawaadhibu vikali zaidi kwa damu mliyomwaga isiyo na hatia...mm naomba MUNGU awadhalilishe zaidiKuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri.
View attachment 1365715
Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa