Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

Kwa sababu leo ameamua kushinda na sisi humu JF ,atajitokeza ili ajibu,kama alitumwa na mkuu wa wateuliwa wote,atasema,maana inasemekani baada ya tukio inasemekana Mkuu wa wateuliwa liliko wote alionekana pale msamvu Morogoro kwenye Hotel ya FILOMI akiselebuka.
 
Bavarian8

Hatujawahi kukataa uwepo wa tume huru ya uchaguzi. Hata kwenye katiba mpya ilikuwa agenda. Wenezetu walikataa. Agenda ya tume huru ni pana
IPO wapi hiyo Katiba ambayo nyie wenzenu walipotoka kwenye Bunge la Katiba mliiandika? Kwa nini Bunge limekaa kimya kuhusu mchakato wa hiyo Katiba mpya?Hii siyo sawa na kuhujumu uchumi?Imagine ule mchakato ulivyotumia fedha zetu?

Nani wa kuhoji ni wapinzani,CCM,Wananchi au? Mimi hapa huwa najiuliza mnajadiliana kitu gani Bungeni kama mambo ya msingi kama Tume Huru ya uchaguzi,Katiba Mpya,Free Media,Teethlessness of important organs of the State hamjadili wala kuwa na nia ya kuyatafutia utatuzi genuine.

Mara nyingi huwa mnaangalia na kuzingatia maslahi yenu na chama chenu kwanza.Hiki ndicho mlitumwa na Wananchi?
 
Ndg.Mwigulu,Mwaka huu nafasi ya kuteuliwa kuwania Ubunge ni ndogo sana/hakuna,unaonaje ugombee udiwani? Au uache kabisa ili usubili hisani ya mzee,ladda unaweza kupata bahati ya kuteuliwa kuwa RC au DC?
NI MTANZANIA TANGU ZAMANI
Mbona unajibu yaliyo mepesi,maswali ambayo yanayogugusa moja kwa moja unayakwepa?
 
Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri.

View attachment 1365715

Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
Mkuu tutajie ulimaliza shule ya msingi mwaka gani.
Tutajie na shule uliyofanyia mtihani wa darasa la saba.

Tutajie na monita wa darasa lako (LY)

Wataje na wanafunzi wenzio wa darasa hilo hilo la saba.

Tukumbushe mlifaulu wangapi! (majina tafadhali)
 
Sema tu Mwigulu anajua kupiga hadithi, nakumbuka ule mjadala wa kuhusu jina lake hapa jukwaani. Kuna mathwali mengine ilibidi ayakimbie

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Huyu ni mroho sana, yuko tayari kufanya lolote baya ili mkono uende kinywani na awapendeze wakubwa zake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio kawaida ya wanasiasa wengi tz, karibia 99% ni wachumia tumbo, wapo kwa ajili yao, nafsi zao mbele vingine vitafata! Unafiki kwao ni suala la kawaida kwao.
 
Nilitegemea Muulize Maswali Kwa mh mbunge ..Maswali fikirishi yenye mantiki badala yake mnatoa kashfa na kumwambia cheo dhamana wakati hilo linajulikana...cheo sio cha Milele hata Mengi amekufa ameacha mahela yake hapa hapa Duniani..sasa sijui mlitaka Jamaa awe Waziri Milele??
 
Ukipenda kitu sio lazima imsaidie mtu, kwani unapovaa jezi ya Chelsea au Man u huwa inatusaidia Nini hata UINGEREZA HUJAFIKA. MIMI NAJIVUNIA UTANZANIA WANGU, HIYO BENDERA YA TAIFA

Huu uzi umeanza kutuonesha kuwa skafu ni kawaida kwako, sie tukivaa ama kutokuvaa jezi za chelsea hatumtangazii mtu.

Kulikuwa na haj gani ya kuanzisha uzi kuonesha we ni mvaaji wa skafu ya tz!? Inasaidia nini, uvae ama usivae tofauti nini, kuna haja gani ya kutuaminisha we ni mvaaji skafu!
 
Kumbe wewe ni mzalendo toka siku nyingi
Kwaajili ya kuvaa skafu?

Nakumbuka wakati wa Mwalimu ilikuwa marufuku mtu yeyote kuvaa au kutumia bendera ya Taifa katika matumizi binafsi. Wakati huo ilichukuliwa kuvaa bendera ya Taifa ni kuikosea Jamhuri heshima.
 
Hata wewe una haki kuuliza
Nilitegemea Muulize Maswali Kwa mh mbunge ..Maswali fikirishi yenye mantiki badala yake mnatoa kashfa na kumwambia cheo dhamana wakati hilo linajulikana...cheo sio cha Milele hata Mengi amekufa ameacha mahela yake hapa hapa Duniani..sasa sijui mlitaka Jamaa awe Waziri Milele??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitegemea Muulize Maswali Kwa mh mbunge ..Maswali fikirishi yenye mantiki badala yake mnatoa kashfa na kumwambia cheo dhamana wakati hilo linajulikana...cheo sio cha Milele hata Mengi amekufa ameacha mahela yake hapa hapa Duniani..sasa sijui mlitaka Jamaa awe Waziri Milele??
Kwanini hayo maswali fikirishi usiukize ww?au ndio ile unaulizwa swali na ww unauliza swali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom