Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

Mzee Lwakatare na familia yake kesho wanaenda kanisani kutoa shukrani kwa Mwenyezi Mungu kutokana yaliyotokana na kesi ya Ugaidi uliyoitunga kwa kushirikiana na Ludovic , subiri malipo ya Mungu
Aise Kati ya watu wanaonishukuru ni LWAKATARE, ONGEA NAYE UPATE UKWELI. ANAUJUA NA ANAJUA NILIMSAIDUAJE
 
Mh. Mwigulu naomba connection na mimi niingie kwenye system hata nikianzia ngazi za chini sawa.

Elimu yangu Bachelor Degree nina IQ karibia namfikia Einstein.
 
Leo kwa Mara ya kwanza ndio nimekutana na Jibu la kisiasa

Hongera Mh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu ana majina mawili kama Makonda. La ukweli ni Lameck Madelu na la kufanyia kazi Mwigulu Nchemba. Ogopa sana mtu anayebadili hadi majina ya baba na Babu.
anaweza kubadilisha mpaka nchi na uraia ikiwa anataka kupata kile anachohitaji.
 
Naomba tumuache kijana wa watu kwa maswali mnayo mswalika hajatoa majibu yaliyojitosheleza. Kwa halii yawezekana hata huko alipo mapigo ya moyo yapo juu.

Tumpe hongera mh. Raisi Magufuli kwa kutoona umuhimu wa huyu jamaa . Maana kama angeendelea kukalia kiti cha uwaziri mpaka leo wananchi wengi wangekuwa hawajulikani walipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

SIO KILA KITU KINAJIBIWA NA KILA MTU, NA KILA KITU NI PUBLIC

Ungeweka wazi yapi unajibu na yapi yasiulizwe kabisa. Mwenyewe umealika watu wakuulize maswali hapa hapa iweje utake kutafutwa kwa jambo lililoulizwa hapa?
 
Swali la Kwanza: Tangu ndugu yako Tundu Antiphas Lissu mghwai amiminiwe risasi Dodoma hujawahi kumpigia simu wala kwenda kumpa pole kwa kumuona alipokuwa Nairobi na hataa alipoenda Ubelgiji Kwanini?

Swali la pili: Hii roho ya kigaidi uliyonayo utaiacha lini??

Swali la tatu: Yule punda uliyemgonga Dodoma anaendeleaje??

Munio wakho.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
amebip sasa watu wanampigia alafu anaogopa kupokea maana hana analoweza kujibu. unajua hawa wanasiasa wanafikiri watanzania ni wale wale wa zama za kidumu chama cha mapinduzi.
 
Sikuwahi kuandika, hata sijui wapi na wapi pameandikwa. Maana ilikuwa kazi ya mashabiki. Tufute tu maana swala la USAFI WA MAZINGIRA NI LETU SOTE
Mheshimiwa hii issue ya uhandishi kwenye babara haina maana waambie waje na hoja zenye maana hawajui bongo wanasiasa they are celibrities they got fans. Dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
URAIS SIO NDOTO ZA MTU BALI NI HITAJI LA WAKATI NA HITAJI LA WATU . HIVYO HII SIO AGENDA KWA SASA. NIULIZE KUHUSU IRAMBA
Mh. hata ukiulizwa kuhusu Iramba hali itakuwa hivyo hivyo hutokuwa na majibu ya kutoa maana nyie ni watu wa kusifia sifia tu kwa Raisi ili mpate chakula chenu na watoto wala sio kwa sababu ya wananchi.
ila nikupongeze kwa kuja huku jamvini walau kujaribu kutafuta maswali.
 
Muulize wewe maswali yenye mantiki wao waache waulize yanayowagusa,waache watoe machungu yao, watu wanajua jinsi wanasiasa wa bongo walivyokua na sura mbili,sura ya kwanza ni ya wakati wa kuomba kura na sura ya pili ni baada ya kupata ours.

Hivyo nakushauri waache watu watoe ugwadu mioyoni mwao. Ila wewe usiache kuuliza ya mantiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…