Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

HK hapawezi humu labda aje na id ambayo si verified
 
Mkuu kwanza pole kwa miangaiko ya kila siku na nakushukuru kwa kutupa nafasi ya kukuuliza maswali.

Mimi binafsi sina swali lakini nina ombi.

Nakuomba uchukue nafasi hii kutuomba msamaha wananchi kwa mauaji, utekaji na uhalifu uliotokea kipindi ulicho kuwa waziri wa mambo ya ndani.

Kumbuka, wizara hii inasimamia usalama wa wananchi.

Natanguliza shukrani.

Nimeposti tena nahisi kama ulilipita.
 
URAIS SIO NDOTO ZA MTU BALI NI HITAJI LA WAKATI NA HITAJI LA WATU . HIVYO HII SIO AGENDA KWA SASA. NIULIZE KUHUSU IRAMBA
Iramba Magharibi inaenda na Kitila Mukumbo, sijui umejipangaje? Yaani umefikia hatua ya kuandaa kigenge cha ushangiliaji kwenye mikutano ya ndani? Aibuu hii!
 
Post #55 umekwepa kujibu Rudi uipitie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku alipoona suluhu ya hoja zilizopo kwenye bajeti ya upinzani ni kuitupa hotuba ile ndipo nilipoona hafai kuwa kiongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana lolote huyo anapima upepo tu labda mwenzetu mgen na hawa wachumia tumbo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo inaitwa halafu tengeneza, ulimtengenezea zengwa then ukajifanya mtatuaji...mkuu tuhuma zote unazotupiwa ndio TASWIRA yako mtaani.
Usibeze haya yasemwayo bali jirekebishe.
Ninajua uwezo wako kiakili.
Ninajua busara zako.
Lakini ulikubali kutumiwa vibaya.

NINAKUSHAURI KUWA KUANZA MOJA SIO UJINGA.
jitokeze hadharani omba msamaha, Watanzania ni watu wa Mungu, watakusamehe na watakuamini tena.
Aise Kati ya watu wanaonishukuru ni LWAKATARE, ONGEA NAYE UPATE UKWELI. ANAUJUA NA ANAJUA NILIMSAIDUAJE

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hivi mh huwa unahudhuria nyumba za ibada?

Acha ushabiki na upenzi wa kisiasa.....hivi ni kweli wewe hufaham aliyempiga Tundu Lissu risasi?
Faham kuwa kuna nguvu inayoitwa MUNGU.
Mwigulu uogopi nguvu ya Mungu kwa kutosema ukweli kwa watanzania kuhusu aliyempiga Lissu risasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…