Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

Mh waweza sema kuhusu Benn saa nane maana Leo mwaka wa 6 hatujui chochote hebu sema neno kidogo
 
Sasa jiongeze fasta tumia huo uwaziri ukayafute mawe yetu maana jamaa akiyaona Tena huna kazi
 
Unpenda kutuchota sana. Mbona hapa hujavaa?


Unnaenda lini chato kuapishwa?
 
Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
Mkuu member mwenzetu wa JF, Mhe. Mwigulu Nchemba
  1. Kwanza nikupongeze kujitokeza tena humu na kukubali kuulizwa maswali, maana mtu wa calbre yako kurejea humu in person na kukubali kujibu maswali, you really have guts!, na labda ujio wako utawarudisha baadhi ya members wetu humu wa calibre yako ambao humu hawachangii tena akiwemo Nape, Ngeleja, Dr. Kigwa, Makonda, na wengine
  2. Pili nikupongeze jinsi unavyojibu karibu kila swali, na pia kwa yale maswali ambayo majibu yake sio for public consuption, umewakaribisha waulizaji at personal level.
  3. Pia nakupongeza kwa uvumilivu wako na ustahimilifu wa kuyavumilia baadhi ya maswali kiukweli ni ya kijinga!. Hapa nawaomba members wenzangu wa jf, kumpata mtu kama huyu kujibu maswali yetu humu ni heshima kubwa kwa mtandao wetu huu wa jf, tumuulize maswali ya maana, kiheshima na kistaarabu ili kuonyesha jf ni mtandao wa watu mature, responsible na wenye objectivity, hiki sio kijiwe, hivyo tuache maswali ya vijiweni.
  4. Mimi nakiri kukukubali sana tangu ulipotaka kugombea urais ile 2015 Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!
Na baada ya maelezo hayo, mimi ni mwandishi wa habari za uchunguzi, IJ, nina maswali madogo 5 yanayohusu utata wa majina yako, ambayo yanahitaji majibu mafupi mafupi tuu ili yasikuchukulie muda mrefu
  1. Ulizaliwa lini, wapi, na ulipozaliwa ulipewa majina matatu yapi?
  2. Ulianza shule lini, shule gani, iko wapi, na uliandikishwa kwa majina matatu yapi?
  3. Ulipokatisha shule kwa ajili ya kuchunga mbuzi, ulikatizia lini, ukiwa darasa la ngapi na ulikatizia shule kwa majina gani?.
  4. Ulichunga mbuzi kwa muda gani, na uliporejea tena shule, ulirejea lini, shule gani, na ulirejea darasa la ngapi na kwa majina gani?.
  5. Ulimaliza shule darasa la saba lini, shule gani, mwaka gani na ulimaliza kwa majina matatu yapi?.
NB. kama jina la shule ni hiyo hiyo, kwenye jina la shule jibu only once.
Natanguliza shukrani na hongera kwa uteuzi tena.
P.
 
akijibu ni-tag mkuu
 
Paskali nakuomba kwa nia ya dhati kabisa Mwigulu ayaruke haya maswali.
Hatutaki akimbie jukwaa kama kina Nape
 
Sasa hivi uteuzi bado wa moto moto ngoja ipite miezi kadhaa ndo atakuja kujibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…