guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Kazi ipo hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanzo wa andiko ungesema utajibu maswali pale utakapoweza, maswali mengi umeyakwepa.Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa nava
View attachment 1365715
Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
Mkuu uliona 'mbali'Asante Sana kwa ufafanuzi Mh. Mwigulu.
Endelea kukaa bench ila nina uhakika utarudi kwenye uwaziri.
Mwenzako Kangi yeye anaenda kuozea jela
Mkuu utabir wako umetimia Mwigulu Nchemba karud kuwa wazirAsante Sana kwa ufafanuzi Mh. Mwigulu.
Endelea kukaa bench ila nina uhakika utarudi kwenye uwaziri.
Mwenzako Kangi yeye anaenda kuozea jela
Unpenda kutuchota sana. Mbona hapa hujavaa?Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri.
View attachment 1365715
Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
Mkuu member mwenzetu wa JF, Mhe. Mwigulu NchembaKama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
akijibu ni-tag mkuuMkuu member mwenzetu wa JF, Mhe. Mwigulu Nchemba
Na baada ya maelezo hayo, nina maswali matatu yanayohusu utata wa majina yako, ambayo yanahitaji majibu mafupi mafupi tuu ili yasikuchukulie muda mrefu
- Kwanza nikupongeze kujitokeza tena humu na kukubali kuulizwa maswali, maana mtu wa calbre yako kurejea humu in person na kukubali kujibu maswali, you really have guts!, na labda ujio wako utawarudisha baadhi ya members wetu humu wa calibre yako ambao humu hawachangii tena akiwemo Nape, Ngeleja, Dr. Kigwa, Makonda, na wengine
- Pili nikupongeze jinsi unavyojibu karibu kila swali, na pia kwa yale maswali ambayo majibu yake sio for public consuption, umewakaribisha waulizaji at personal level.
- Pia nakupongeza kwa uvumilivu wako na ustahimilifu wa kuyavumilia baadhi ya maswali kiukweli ni ya kijinga!. Hapa nawaomba members wenzangu wa jf, kumpata mtu kama huyu kujibu maswali yetu humu ni heshima kubwa kwa mtandao wetu huu wa jf, tumuulize maswali ya maana, kiheshima na kistaarabu ili kuonyesha jf ni mtandao wa watu mature, responsible na wenye objectivity, hiki sio kijiwe, hivyo tuache maswali ya vijiweni.
- Mimi nakiri kukukubali sana tangu ulipotaka kugombea urais ile 2015 Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!
Hongera kwa uteuzi.
- Ulizaliwa lini, wapi, na ulipozaliwa ulipewa majina matatu yapi?
- Ulianza shule lini, wapi, na uliandikishwa kwa majina matatu yapi?
- Ulimaliza shule darasa la saba lini, na ulimaliza kwa majina matatu yapi?.
P.
Huyu labda alitoa tu order kwa Mtu amwandikieKwa nini unaandika kwa kutumia herufi kubwa namna hiyo? Huna netiquette?
Paskali nakuomba kwa nia ya dhati kabisa Mwigulu ayaruke haya maswali.Mkuu member mwenzetu wa JF, Mhe. Mwigulu Nchemba
Na baada ya maelezo hayo, nina maswali matatu yanayohusu utata wa majina yako, ambayo yanahitaji majibu mafupi mafupi tuu ili yasikuchukulie muda mrefu
- Kwanza nikupongeze kujitokeza tena humu na kukubali kuulizwa maswali, maana mtu wa calbre yako kurejea humu in person na kukubali kujibu maswali, you really have guts!, na labda ujio wako utawarudisha baadhi ya members wetu humu wa calibre yako ambao humu hawachangii tena akiwemo Nape, Ngeleja, Dr. Kigwa, Makonda, na wengine
- Pili nikupongeze jinsi unavyojibu karibu kila swali, na pia kwa yale maswali ambayo majibu yake sio for public consuption, umewakaribisha waulizaji at personal level.
- Pia nakupongeza kwa uvumilivu wako na ustahimilifu wa kuyavumilia baadhi ya maswali kiukweli ni ya kijinga!. Hapa nawaomba members wenzangu wa jf, kumpata mtu kama huyu kujibu maswali yetu humu ni heshima kubwa kwa mtandao wetu huu wa jf, tumuulize maswali ya maana, kiheshima na kistaarabu ili kuonyesha jf ni mtandao wa watu mature, responsible na wenye objectivity, hiki sio kijiwe, hivyo tuache maswali ya vijiweni.
- Mimi nakiri kukukubali sana tangu ulipotaka kugombea urais ile 2015 Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!
Hongera kwa uteuzi.
- Ulizaliwa lini, wapi, na ulipozaliwa ulipewa majina matatu yapi?
- Ulianza shule lini, wapi, na uliandikishwa kwa majina matatu yapi?
- Ulimaliza shule darasa la saba lini, na ulimaliza kwa majina matatu yapi?.
P.
Sasa hivi uteuzi bado wa moto moto ngoja ipite miezi kadhaa ndo atakuja kujibu.Mkuu member mwenzetu wa JF, Mhe. Mwigulu Nchemba