Ana miaka 46 anataka kunioa, je hii ni sawa kwa umri wangu?


Na kama amejipata, miamala yao huwa ni mikubwa mikubwa.

Anyways : Amezidiwa mbali sana kwahivyo akubali kuburuzwa sana hasa kwenye maamuzi. Mengine yote atalelewa kama mtoto πŸ˜…
 
Ndy safi sasa mkuu,,

Leo jaribu kufikiria msichana uliyemaliza nae shule ya msingi.
Mpo sawa kimuonekano?au upo sawa ku date na mwanae wa kike wa kumzaa...
Mwanamke anahitaji mume awe baba na sio kavulana
🀝
 
Kama ana pesa mbona 46 mtoto kabisa huyo! Ila kama ndio liwalo na liwe basi aachane na hizo laana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…