Ana miaka 46 anataka kunioa, je hii ni sawa kwa umri wangu?

Sasa unayetakiwa Kuolewa na Kushindiliwa nao ni Wewe mwenyewe halafu tena unatuuliza sisi Watu baki tukueleweje labda?
 
Inawezekana kabisa wewe ukazeeka kabla ya huyo unaemuita mbaba,
Mapenzi huamuliwi wala kushawishiwa na mtu wa pembeni,ni wewe na akili yako tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…