Ana miaka 46 anataka kunioa, je hii ni sawa kwa umri wangu?

Kipya kipi hapo, kama kukulana mmekulana vya kutosha...muendelee mlipo huo ndo ushauri wangu!!
 
Kwani wewe bado bikira?
Kama sio bikra basi umeshakuwa used,

Unawezaolewa hata na mwanaume wa miaka 50.
 
Ujue sisi tupo kwenye peak ya kuenjoy na hawa watoto, ndio maana unaona wazee wengi wa 40s wanakula hizi totoz za 20s...tena zinatupenda sana, huwa tunazikimbia๐Ÿ˜…

Acha kucharazia dogo!
Ila sion haja ya yeye kuwa na mwanaume aliyemzidi miaka 20+ wakati age mate wake tupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ