Unakunywa bia gani??,. Na total inakuwa bei gani Kwa zote mbili??Unaninyima sio😇
Sahihi kabisa mkuu, ikizidi sana 10yrs.Ila sion haja ya yeye kuwa na mwanaume aliyemzidi miaka 20+ wakati age mate wake tupo
Acha Uonevu ndugu.Sheria ya nchi inamtambua mtu mwenye miaka 60 ndiye mzee.Huyo wa 46 ni "hensham" bado.Kujitafutia laana tu kibabu mwili ushaanza kucho bado miaka 4 agonge fifty umri wa kistafu
🤝Sahihi kabisa mkuu, ikizidi sana 10yrs.
Rika lake hamtaki majukumu,. Mnataka kula na kuondokaRika lako tupo
Asante sana mkuu nitafanya maamuziInawezekana kabisa wewe ukazeeka kabla ya huyo unaemuita mbaba,
Mapenzi huamuliwi wala kushawishiwa na mtu wa pembeni,ni wewe na akili yako tu.
Ee ndioKabisa aolewe tu
Bado wanasubiri tufe waokote nyumba zetu na mahela ndiyo waoe.Rika lake hamtaki majukumu,. Mnataka kula na kuondoka
Inasikitisha sanaKwani wewe bado bikira?
Kama sio bikra basi umeshakuwa used,
Unawezaolewa hata na mwanaume wa miaka 50.
Nakuomba pm, plz kwenye hili naomba uniaminiAsante sana mkuu nitafanya maamuzi
Na wazee wenyewe mnavyokabia Kwa juu,. Sikuizi hamfi mapema mnakula Hadi Rika lao😂😂Bado wanasubiri tufe waokote nyumba zetu na mahela ndiyo waoe.
Nakazia,.We olewa, atakufa atakuachia mali huyo.
Pia, hilo shimo haliangalii umri, lenyewe linapokea tuu malighafi.
Upo seriously unataka kuoa?Nakuomba pm, plz kwenye hili naomba uniamini
Tunawaachia ujuzi/urithi wa mitindo.Wasije kusema wazee wa hovyo tumeondoka na maujuzi yetu bin mautundu.Na wazee wenyewe mnavyokabia Kwa juu,. Sikuizi hamfi mapema mnakula Hadi Rika lao😂😂
Mbona KAZI ipoo
Mnakaba mpaka penalty,. Wazee wa hovyo🥴Tunawaachia ujuzi/urithi wa mitindo.Wasije kusema wazee wa hovyo tumeondoka na maujuzi yetu bin mautundu.
Je, asiponiandika kwenye urithi🤔We olewa, atakufa atakuachia mali huyo.
Pia, hilo shimo haliangalii umri, lenyewe linapokea tuu malighafi.
Wala,si kweli.Tunafunga kwa juhudi zetu kama Kibu Dennis.Mnakaba mpaka penalty,. Wazee wa hovyo🥴
Chezesha kiuno mtoto wa kike,. Mbona Hadi mashamba ya ukoo atakurithisha weweJe, asiponiandika kwenye urithi🤔