Ana miaka 46 anataka kunioa, je hii ni sawa kwa umri wangu?

Kama haiwezi kuingia kwenye hiyo tamu yako usikubali kuolewa naye.
 
ni sawa mradi tu akutunze na awe anakupiga mpini wa sawasawa
 
Achana na hiyo kitu
 
Kwanza kabisa unatakiwa uchunguze kwa undani bila yeye kujua, kisa cha kuachana na mke wake wa kwanza. Hili ni muhimu sana ili na wewe usiishie mwisho mbaya.
Ukikuta ni sababu inayoeleweka, basi kabla ya kuoana inabidi muweke mambo sawa i.e. kuhusu mke wake wa kwanza na watoto na pia mali alizonazo.
Na mwisho, pengo la umri mimi sioni ni tatizo kabisa kama umempenda. Ili mradi uwe unaolewa kwa sababu ya mapenzi ya kweli na siyo ukimbizi wa kiuchumi kutokana na hali yako mbaya au kutamani mali alizonazo.
 
Asante mkuu nitafanya uchunguzi wa kina kabla ya kukubali au kukataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…