Jibu hili ndio litafata 😂😂🤣 hata mie aliniambia atalea mwenyewe ila anataka kunipeleka ustawi wa jamii wanawake wana mbinu sana za kutuingiza kwenye 18!Haaa haaa haa kwahiyo kapata chaka la kujihifadhi na ndiyo upo mbali na mkeo anachukua nafasi taratibu, atamwambia nitaelea mwenyewe asubili mtoto azaliwe atamwambia nitambulishe kwa ndugu tayari mke wa pili
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Yaani upendo ule wa mwanzo lazima upungue tu, na tegemea chochoteMmh! Kibaya zaidi Sterehe ya muda mfupi inaenda kuvuruga malengo yote uliyojiwekea.
Umempima mtoto mkufunzi?Jibu hili ndio litafata [emoji23][emoji23][emoji1787] hata mie aliniambia atalea mwenyewe ila anataka kunipeleka ustawi wa jamii wanawake wana mbinu sana za kutuingiza kwenye 18!
Nikuulize Suala moja tu, kama ulikuwa hutaki mtoto wa nje ilikuwaje ukatembea nje tena pekupeku?Kuna Mwalimu fulani anamfundisha mwanangu shule niliyomuhamishia baada ya Mimi kuhamishwa kikazi.
Ili kumfanya awe karibu na mwanangu nikawa nampa hela Mara kwa mara kumbe mwenzangu amevutiwa na mimi si tukafika point tukaanza kulana kichuri.
Kifupi amepata mimba ya mwezi mmoja na hataki kusikia habari ya kutoa, anadai alikuwa anahangaika kupata mimba na ananishukuru mimi kwa kumpa mimba. Mimi nimeoa wale Wanawake wanajiita wasomi yaani anapenda kazi kuliko mume na tunakaa mkoa tofauti tofauti kwa sababu ya kazi.
Mimi nimepanic Ilayeye ana furaha ya ajabu kiasi kwamba nikiona hivyo nazidi kupagawa. Anakataa hata kukutana na mimi, anajua naweza nnikamnyang'anya mimba yake.
KI UKWELI MI SITAKI KUZAA NAYE KWA SABABU NITAVURUGA NDOA YANGU.
Tusaidiane namna gani naweza kuukwepa huu mtego. Sitaki tena sitaki kuwa na mtoto wa nje
Nahisi hana mimba yuleUmempima mtoto mkufunzi?
Haaa haaa pole , kuna mwingine kaletewa mtoto kahudumia baadaye kama kashituka vile kumwambia twende ustawi ili tukapime mwanamke kalala mbele [emoji23][emoji23][emoji23]Nilifanya ujinga sana, huyu demu nilimtema ni king'ang'anizi sijawahi kuona, ipo siku akajifanya mgonjwa na anahitaji msaada, huruma iliniingia na rafiki yangu akaniambia plz weka kinyongo pembeni msaidie na akaamua kunisindikiza.
Tulipofika kwake ilikuwa ni usiku jamaa akabaki kwenye gari, kuzama ndani kumbe demu haumwi wala nini anataka kuliwa...ile kugusa baada ya mwezi naitiwa mimba.
Nikamwambia siijui hadi ujifungue nikapime kwani inaonyesha kuna hila.
Sasa mimba na ustawi wa jamii wapi na wapi?Nahisi hana mimba yule
AnazinguaSasa mimba na ustawi wa jamii wapi na wapi?
Wanawake wana hila nyingi, hasa huyu wangu naona anahisi kupitia mtoto amenipata, umebaki mwezi mmoja ajifungue lazima nimpime mtotoHaaa haaa pole , kuna mwingine kaletewa mtoto kahudumia baadaye kama kashituka vile kumwambia twende ustawi ili tukapime mwanamke kalala mbele [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Mwambie awahi harakaAnazingua
Mimi chekundu au cheusi kinaenda kujulikana ndani ya week hii maana nimepewa taarifa demu kaenda hospital kujifungua.Nilifanya ujinga sana, huyu demu nilimtema ni king'ang'anizi sijawahi kuona, ipo siku akajifanya mgonjwa na anahitaji msaada, huruma iliniingia na rafiki yangu akaniambia plz weka kinyongo pembeni msaidie na akaamua kunisindikiza.
Tulipofika kwake ilikuwa ni usiku jamaa akabaki kwenye gari, kuzama ndani kumbe demu haumwi wala nini anataka kuliwa...ile kugusa baada ya mwezi naitiwa mimba.
Nikamwambia siijui hadi ujifungue nikapime kwani inaonyesha kuna hila.
Unaweza kuta mpo 3 anawachezea shega [emoji23][emoji23] anakula kote kote, hiyo yakukwambia atakupeleka ustawi anakutishia nyau haa haa haa, poleJibu hili ndio litafata [emoji23][emoji23][emoji1787] hata mie aliniambia atalea mwenyewe ila anataka kunipeleka ustawi wa jamii wanawake wana mbinu sana za kutuingiza kwenye 18!
Namkazia tu sasa hmna namna😂Unaweza kuta mpo 3 anawachezea shega [emoji23][emoji23] anakula kote kote, hiyo yakukwambia atakupeleka ustawi anakutishia nyau haa haa haa, pole
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Kwani kumheshimu mke ndiyo umarioo? Au kwasababu ni Mme mke hana sauti wala kuheshimiwa duu!Mzee baba hapa inavyoonekana mkeo ndo kila kitu yaani kifupi ww ni Marioo kwake.. sasa uoga wako Ni huu msala utakuharibia kwa mkeo[emoji28][emoji28]
Kwani wewe bikra mkuu?Nilikuwa nakutamanigi kinyama kumbe ushamvimbisha mtu?!! Asalaleee
JKs [emoji23]
Haaa haa wewe fedha yako na ist yako kwanini asikung'ang'anie!Namkazia tu sasa hmna namna[emoji23]
LooohMimi chekundu au cheusi kinaenda kujulikana ndani ya week hii maana nimepewa taarifa demu kaenda hospital kujifungua.