GE2025 Anaandika Boniface Jacob: Hatimaye CCM waanza rasmi kumlilia Tundu Antipas Lissu na CHADEMA!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
ccm inakwenda ccm bye bye Serikali za ulaya America Asia zinaenda kuishinikiza ccm ifanye mabadiliko kuwepo na Tume huru ya uchaguzi na vyama vyote vishiriki uchaguzi bila vikwazo na ndipo ya Zambia na Senegal yatatokea Tanzania na ccm kuwa kama KANU ya kenya
 
Uchaguzi huru na haki ccm bye bye
Hakuna mtu mwenye Akili Timanu ataichagua ccm kwa sasa zaidi ya wanufaika wa utekaji
 
Chadema ingepata wabunge wengi kwenye huu uchaguzi. Ila walikurupuka sana kwa uamuzi wao
Ccm wakifika kwenye uchaguzi hawana huruma na mpinzani, mazingira ya mbunge wa upinzani kutoboa yanazidi kuwa magumu kuliko chaguzi zilizopita
 
Chadema ingepata wabunge wengi kwenye huu uchaguzi. Ila walikurupuka sana kwa uamuzi wao
Kwani Chadema ndio tume au wahesabu kura mkuu? Hao wabunge wangepita kwa tume ipi hii hii au nyingine?
 
Chadema ingepata wabunge wengi kwenye huu uchaguzi. Ila walikurupuka sana kwa uamuzi wao
Mbona hawakupata watendaji wengi walipoamua kushiriki uchaguzi wa SM? Bado unaamini kuna watu wanakamatwa kirahisi na hizi dhahania?
 
Hakuna askofu anaweza kuongea ujinga kama huu labda awe ni mzinzi mmoja aliyeenda huko kuwa kuwavizia watawa (nuns/sisters)
 
Nyie ni km makahaba mnajitembeza mpate mteja, huo ni uzushi km wa huyo msemaji wenu.
 
"Acha wafu wazike wafu wao"🤔
Maneno ya Yesu,Mnazareti
 
Ukisoma kwa kutumia akili unaona ni kama Jacob anaombea Chadema ibadili maamuzi iingie katika uchaguzi ili kutumia hiyo fursa ya mgogoro.
 
 
umekula?
 
CHADEMA
Kwamba kila anaetia nia ni lazma ashinde kwenye mchujo? Basi ata Kamanda Mbowe inabidi alalamike kua huko CHADEMA akutendewa haki ilibidi ashinde yeye
 
Mpaka wakatwe ndo wanaona haya???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…