GE2025 Anaandika Boniface Jacob: Hatimaye CCM waanza rasmi kumlilia Tundu Antipas Lissu na CHADEMA!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Eeeh kunakucha kwa kasi sasa,yetu macho na masikio 😂😂
 
ya CCM tuwaachie wenyewe, hao wanaolalamika wote ni TAkaTaka
 
Naomba link ikimuonyesha
Mwenyekiti na Katibu Mkuu CCM wakisema kwamba wabunge wastaafu lazima wawepo kwenye tatu bora.
 
Hakuna cha MwanaCCM aliyesema hayo, ni fikra na mawazo yenu tu. Acha wajumbe wafanye kazi zao za kuchuja wagombea.
 
Sasa wewe inakuhusu nini.Mambo ya CCM acha wafu wazikane wenyewe.CHADENA yenyewe ni tia maji tia maji,halafu unapoteza muda kuandika na kudadavua yanayoendelea ndani ya chaguzi za CCM. Sasa huko CHADEMA hakuna tena siasa ?Ama kweli,ashakum lakini,Nyani haoni Kundule.
 
Acha waliweka vichwa, walikuwa wapiga meza na kikwazo Kwa demokrasia
 
Chaumaccm ni vigumu kiwe imara kwani kimejaa watu wa hovyo tupu wana majungu fitina umbea ushirikina uzinzi na vitendo haramu vya kishetani
Wanawazidi Ccm, na ndio chama tawala
 
Wanakataa kuvitambua kama vikao vya CCM ngazi ya Wilaya na mkoa siyo vikao vya mchujo bali ni "MNADA WA UBUNGE"
 
Wameona wamekatwa ndo wanajua hakuna uchaguzi wa haki? By the way NRNE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…