GE2025 Anaandika Boniface Jacob: Hatimaye CCM waanza rasmi kumlilia Tundu Antipas Lissu na CHADEMA!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mbona una hasira?
 
Kama ni no reforms no elections tungesnzia CHADEMA. Uamuzi wa kusudis Uchaguzi kuvuruga uchaguzi hauingii akilini. Ni ubabe wa hotheads wawil watatu.
 
Kuna mtu huwa anamskiliza boni yai.
Twenzetu kesho mechi gani banduku👉
 
Kwa hiyo wameshaelewa pia kuwa chama cha yule Mzee wa ubwabwa na Mzee wa TAKATAKA si lolote si chochote bali ni rubber stamp tu ya kuwahadaa mataifa
 
Of course utajua tu umuhimu wa mfumo wa haki pale utaksponyimwa haki yako
 
Nahisi watu wengi wangekufa au kupata ulemavu wa kudumu kama chadema wangeshiriki zaidi hata ya uchafuzi wa Magufuli kaka. Angalia trend ya matukio ya mauaji na utekaji wa wakosoaji na hakuna anayekemea kwenye uchaguzi na Chadema ingekuwa worse
Bora watu wangekufa na kuwa viwete kuliko kupelekeshwa na mwanamke hivi. Chadema kususia uchaguzi ni usaliti kwa watanzania
 
Huwezi kufanya siasa in isolation, peke yako, you need to interact with others, know their positions, integrity yao, mikakati yao, what is going on in the inner circles of your opponent, etc, etc.... wewe seems hujui kitu duniani, particularly dunia ya siasa
 
CHADEMA

Kwamba kila anaetia nia ni lazma ashinde kwenye mchujo? Basi ata Kamanda Mbowe inabidi alalamike kua huko CHADEMA akutendewa haki ilibidi ashinde yeye
Bishweko ni takataka za majani yaliyofunika ndizi wakati wa kupika.... au nakosea?
 
Kama ni no reforms no elections tungesnzia CHADEMA. Uamuzi wa kusudis Uchaguzi kuvuruga uchaguzi hauingii akilini. Ni ubabe wa hotheads wawil watatu.
Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • VID-20250713-WA0001.mp4
    1.6 MB
Hapana
Walikuwa sahihi tu ,hao ht wangeenda cdm Bado wangepita watu wao wanaowataka ccm
Kumbuka hata Dr slaa alikatwa ccm ndio akaja kuhamia chadema. Inawezekana moto ungewaka sana kwenye huu uchaguzi. Kwa mfano January, Mpina, Gambo, Gekul na wengineo wangehamia chadema
 
Bishweko ni takataka za majani yaliyofunika ndizi wakati wa kupika.... au nakosea?
Kwahiyo ndugu takataka zinaweza kufunika chakula? JIBIDISHE KAMANDA ila tunaweza kushinda mwaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…